Jamaa anajua kuvutia watu na majonjo yake,kama kipindi cha vodacom asubuhi ipo sijui kama huyo mwingine ataweza kumfikia jamaa
eeba nae,sasa inakuwaje tena manake yule ndiye kinara wa RFA
sasa kuna yule mkongo zuberi ndiye wanamtumia kwa kila kitu
hawezi kukataa kwa sababu akifukuzwa inabidi arudi kwao kongo
Nadhani huyu ni Fredwah anataka aone popularity yake iko kwa kiasi gani. Kama wewe siye basi huna haja ya kutupotezea muda mpigie simu umjulishe unashangaa hayuko RFA.
Mwaka jana July
nilitembelea na nilimkuta Fredwaa akiwa ktk kipindi asubuhi, na
akanirusha hewani kimtindo.
Am sure tatizo pia linaanzia kwa HR wao Raphael Shiratu, yasemekana
hafai kwenye post hiyo.
RFA imezalisha watangazaji wengi sana kwa mfano Mkamiti Juma Kibayesi
(VOA-Swahili), Godwin Gondwe, Isaac Gamba, Paul James Sweya (Clouds),
Baruan Muhuza, Hamisi Dambaya (Mlimani radio n TV), Gabriel Zacaharia,
Roy Maganga,Alex Ngusa (Metro fm), Joan Itanisa, Kid bwoy, Anselim
Ngaiza, etc.
Na sasa inawapika vijana wengi wakiongozwa na akina Yahya Mohamed,
Gabriel Yotum a.k.a computer, Tom Chilala, mzee Samadu Hassan, Mukhsin
Mambo, Paul Mabuga etc.
My take: Chairman Diallo amka na UBADILIKE
Msikien sahv ndan ya timez fm, afu kasepa na baadh ya segment kama chakula cha akil, ongeza maarifa
Maslahi baba, ndio kila kitu.
dah mkuu umenikumbusha list yangu pendwa, nilikuwa sikosi kipindi cha mahaba cha dr. maganga usiku na sitasahau jumapili, fredwaa katika maisha yangu nimepanga mungu anipe maisha nimuone live..kama anapitia uzi huu nipe pm bro nikuone coz nakukubali hakunaga na kuna ck umenitoa machoz kwa vichekesho vyako yan nilicheka hadi kulia.
Baragaza bado sana hawezi fikia level za FREDWAHyupo balagaza kaachiwa mikoba mkuu