Had i know!!!!

tittle ya thread yako kwanza inamaanisha nini
 
Kiingereza ni lugha ya kigeni ile kaka,hebu nitafsirie kichwa cha huu uzi japo nitie neno.

Kabla sijaondoka hapa nikupe kongole kwa kuwa umetongoza
 
Utani eee bas mwambie wew hunaga utani ati
 


ujinga huo ndo vijna wa kisasa mwaufanya.........

na ni kweli kabisa .... hamko serious,,,,,, mtadharauliwa sana hadi pale mtakapo amua shirikisha ubongo ktk mapenzi.,,..
 
had i know? hahahaaa..! wacha ncheke mie.km kiingereza huwez tumia lugha ya taifa.
 
mpe kadi ya harusi tu ataelewa maana yake....
 
mpe kadi yako ya harusi tu ataelewa maana yake....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…