Hacking

Hacking

FADHEEL

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Je inawezekana kwa mtu kuweza kuhack picha ambazo hujazi upload wala kuweka profile picha sehemu yeyote ile?
 
Je inawezekana kwa mtu kuweza kuhack picha ambazo hujazi upload wala kuweka profile picha sehemu yeyote ile?

Kinachokuwa hacked ni kifaa sio picha. Hivyo labda useme... Je? Inawezekana mtu kupata access ya picha ambazo hujazi upload wala kuweka profile picha sehemu yeyote ile?.

Jibu ni ndio. Endapo tu mtu huyo atapata access ya pale ulipozihifadhi, aidha physically au kupitia network kama vile bluetooth, wifi,lan,internet, removable media etc
 
Je inawezekana kwa mtu kuweza kuhack picha ambazo hujazi upload wala kuweka profile picha sehemu yeyote ile?

Yeah, ndo matokeo ya hacking pia hayo. ila sio rahisi kwamba kila mtu anaweza
 
Kwa mfano mtu anatumia Nokia Lumia na saving ipo sehemu ya kawaida tu si kwenye outlook wala nini ni gallery camera roll tu
 
ok Mollel but hyo ya physical hebu ifafanue vizuri kidogo
 
Kwa mfano mtu anatumia Nokia Lumia na saving ipo sehemu ya kawaida tu si kwenye outlook wala nini ni gallery camera roll tu

Hapo ni ngumu kuzipata. Labda ashike hiyo simu moja kwa moja au kama mmePair kwa blutooth
 
ok Mollel but hyo ya physical hebu ifafanue vizuri kidogo

Physical ni pale mtu anapoishika simu au kifaa chako. Anaweza kuishika na kuConnect kwenye PC au anaweza akachomoa memory card akanyonya data
 
Ndio si anachukua kifaa chako na kujirushia kwa Bluetooth ..

Hacking ipo ya aina nyingi.
 
Back
Top Bottom