Thefreedom
JF-Expert Member
- Jan 27, 2019
- 319
- 316
hey guys .....wazima
Thefreedom hapa
naomba leo nimalizie kujibu ombi ambalo walionirequest niwasaidie kuweka uzi wenye full info kuhusu kufanya port forwading bila router na jinsi ya ku access localhost over internet with static ip address lifetime, basi nami nimeamua kufanya hivyo na hii ndo full article + my techniques ambazo nilikuwa natumia kipindi sina router
FAIDA ZA STATIC IP KWA HACKERS NA PENTERSTER YOYOTE
Itakuwezesha wewe hacker ku maintain access (persistence) kwenye system yoyote ambayo uliweza kuhack na ku patch backdoor yako . Hii ina maana utaweza kupata connection back na active mda wowte utakaopenda wewe
PIA
Haibadiliki ukilinganisha na dynamic ip ambazo huwa zinabadilika kila mda victim aki restart au akiwasha pc au system yyte so kama umetumia rats, backdoor, hiii ni advantage kwako.
HIVO basi leo nitaonesha ni jinsi gani utaweza fanya .
note
Mimi siko vizuri sana kwenye kupiga mdomo so kikubwa take my knowledge + points then utafute cha kuzungumza, ili next time ukija funza au kufanya presentation zako uarrange point za msingi za kuzungumza.
so uzi wangu umegawanyika na ku base na groups mbili web developers na watu wanaofanya hacking na cybersecurity.
1. web developers >>>leo utajua jinsi ya kutoa web yako from localhost na kuiweka kwenye WAN yani wide area network kwa mda unaotaka kabla ujapelekwa kwenye hosting za kulipia.
2. hackers na cybersecurity experts >> leo utajua jinsi gani utaweza kufanya configurations na kuweza attach backdoor zako zitumie static ip addresses
REQUIREMENTS
--> Windows pc
---> linux based operating system (natumia linux kde 2019.2)
---->Angalau uwe na knowledge ya kuzima hata pc kwa beginer wa windows pc
---> linux user unatakiwa kuelewa some basic command ambazo tutazifanya wote
lets dig in..................................
so kwanza kabisa lazima ujue port ambzo pc yako hazitumiiki na program yyte
kwa windows unaweza check kwa kuandika netstat -an italist port zote ambazo pc yako hutumia na chini kabisa utaona port ambazo ni un used .
Kwa linux utatumia ps aux | grep <utawek port au jina la service
ukitaka ku kill process just use kill <weka process id mfano 2890> eg kill 2890
sasa mfano umeweka port na ukaona kitu kama hapa chini kwnye pic ujue basi , port hio inatumiwa nawwe tu hakuna mtumiaji au service inayotumia hio port kwa mda huo
1. web developers
kama wewe ni web developer na umetengeneza website yako kwenye localhost na unatakiwa uiweke kwa mda hewan ili wezako au unataka kufanya advertise, kumuonjesha na kumuonesha mtu kazi yake ili uweze fanya naye kazi ....basi tunawza
(a) using sssh servers ( serveo,localhost.run ,ssh reachme)
(b) using punch (holes of devil)
using SSH SERVERS (linux users)
hatua ya kwanza ni kusend files zako za web yako kwenye directory ya apache server /var/ww/html
baada ya hapo washa apache server ....service apache2 start
sasa Kuazia hapo ukichukua IP yako ambayo utaipata ukipiga ifconfig kwenye terminal yako ..ukiweka kwenye browser utaona data zako au web yako ambayo ipo kwnye directory ya apache server
sasa hiii iko kwenye local area network means mtu wa mbeya au wapi hawez kuona web yako au files zako zilizopo kwnye apache server yakoo , kwasbabu port haiko forwarded na sina uwezo wa kununua au kupata pesa ya kununua router na WAN switch zitakazoniwezesha kuforward port na kutumia static IP
BUT WE CAN FORWAD IT pamoja hatuna router !!! 😀
kwakuwa apache server yetu ina run kwenye port 80
good... sasa fungua terminal kisha weka hiii command ssh -R 80:localhost:80 serveo.net
utapewa hio link sasa chukua hio link wape unaotaaka kuwapa .... na soon wakifungua wataona web yako na kama inavyokuwa kwenye hosting web servers ...so utaona kitu kama hiki hapa chini
sasa nadhani unaona tumepewa link yenye https na ssl lakn inadomain name ambayo haifanani na web yetu...sasa kama ukitaka kuweka domain yako wewe utatumia this command
ssh -R thefreedom:80:localhost:80 serveo.net na itakuwa kama hapa chini
now we have our own domain name. Awesome
problem or disdvantage of this
ssh ni free open service ambayo iko limited , mfano tumefungua hio tunnel kwenye port 80 na ssh server over internet, sasa ikifika mda fulani connection inakuwa terminated na web yako itakuwa down...
sasa how to fix it???!!!
sasa kufix tutaenda patch it na looped function ssh , kwa sababu ssh ni single not looped kwamba ikiwa outdated inashindwa kujiupdate automatically na kuwafanya watu wako waendeleee kuchek web yako... sasa tuna patch na looped function ssh inaitwa autossh
install by this command apt-get install autossh
Baada ya kuinstall replace command za hapo juu instead ya ssh weka autossh
mfano autossh -R thefreedom:80:localhost:80 serveo.net
na ukiangalia hapo connection imekuwa clossed ila ikaji update automatically bila ya kumchomoa user anayeview online .
MWISHO- hiii ni lifetime na ukitaka static ip address una ping serveo.net kwenye terminal yako utapata ip au unampa mtu tu ile link yenye domain yako sikuingine haina haja ya kumtumia link unafungua ssh na same damain kisha yeye anatumia link ileile kuchek ur web
KWA KUTUMIA LOCALHOST.RUN
ni SAME kama hapo juuu ila hiiii inamabadiliko utawasha service unayotaka mfano me nawasha apache server kisha type hii kwenye terminal yako ssh -R 80:localhost:80 ssh.loaclhost.run
KWA KUTUMIA PUNCH (powerful method) >>>>>>windows + linux users
PUNCH ni moja ya software ambayo ni nzuri na itakuwezesha kuhost your local apache kwenda kwenye Wan connection... na me include punch kwa sababu i hate ngrok kwasabbu
1. iko weak , anytime connection inakuwa closed by remote server
2. haisuport double tunnel kwa free accounts
3. ni poor SSL certificate
I T A E N D E L E A K W A U P A N D E W A H A C K I N G ==================Uongozi wa jamiii forum mmeupdate system alafu mmeweka upuuuuziiiii tu bora hata ile ile ya zaman ...mtu una uzi mrefu then system inayumbaa .