hacking sio kitu kirahisi kama hujui programming

Joined
Jun 20, 2012
Posts
94
Reaction score
40
leo naomba niwafumbue macho wale wanao tishia watu kua mutaniletea fb account yangu password kua nyinyi ni hackers halafu mtu mwenyewe programming pia hujui so make sure kwanza unajifunza programming na sio web language. maana mtu anasoma programming aulizwa watumia language gani eti english duh watanzania tuamkeni tusiziogope computer
 
we umejuaje kama huyo mtu anaetishia kuhack FB account yako hajui programming?
 
leo naomba niwafumbue macho wale wanao tishia watu kua mutaniletea fb account yangu password kua nyinyi ni hackers halafu mtu mwenyewe programming pia hujui so make sure kwanza unajifunza programming na sio web language. maana mtu anasoma programming aulizwa watumia language gani eti english duh watanzania tuamkeni tusiziogope computer

Ndo hik ki2, yan Watanganyika mnadharauliana, kwa anaejua clitical thinking atasema wewe unajiona unajua sana, labda cjui kama nimekosea,
na pia kingne wewe ni muoga...
Kama unamjua m2 mwenyewe si unge m PM tu, unatuanikia ss il kiweje?
 
leo naomba niwafumbue macho wale wanao tishia watu kua mutaniletea fb account yangu password kua nyinyi ni hackers halafu mtu mwenyewe programming pia hujui so make sure kwanza unajifunza programming na sio web language. maana mtu anasoma programming aulizwa watumia language gani eti english duh watanzania tuamkeni tusiziogope computer
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa hacking it is a matter of programming, lakini si kila anayefanya hacking lazima awe anajua programming, kuna watu wanatumia software ambazo zimeandaliwa na programmers kwa ajili ya hacking, mfano mzuri kabla sijaanza kusoma programming na wala sijui programming wala hata masuala ya hacking niliwahi kutumia software moja inaitwa dSploit kwa ajili ya wifi hacking kutoka kwa wifihotspot ya jilani yangu na ofisi za TRA, hii ilkuwa ilkuwa ni mwaka 2010 october niliponunua my firt smartphone ambayo ilikuwa used htc desire, hacking ya namna hii programmers wanaita script kiddies hacking. Over
 
leo naomba niwafumbue macho wale wanao tishia watu kua mutaniletea fb account yangu password kua nyinyi ni hackers halafu mtu mwenyewe programming pia hujui so make sure kwanza unajifunza programming na sio web language. maana mtu anasoma programming aulizwa watumia language gani eti english duh watanzania tuamkeni tusiziogope computer

Bro pia hatakama unajua programming zote hacking sio ki2 rahisi kama unavyofikiria vinginevyo utabaki kuwa beginner hata miaka mia
 
Kuwa hacker instakiwa uwe zaidi ya programmer,unatakuwa ujue networks, protocols, OS,shell scripting na vitu vingine. Pia ni lazima ujue how things work.
Tatizo lililopo sasa hivi ni kwanba hawa wanayoyajua haya mambo wametengeneza tools mbalimbali ambazo zinarahisisha hacking na uharibifu mwingine.

So hawa wanaotumia hivi vi tool ndo balaa. Wanataka kujionyesha ni wataalamu kumbe ni tool tu
 
But remember kuhack computer ya m2 asiyejua chochote kuhusu security na kujilinda ni sawa na work done ya kusukuma ukuta lazima iwe 0 kwa sababu hakuna effort yoyote wala hauta gain chochote
 
Back
Top Bottom