Hacking kubwa kufanyika kwenye historia ya celebrity

kuna jamaa wanafungua iCloud lock, kwa simu ambayo haiko reposted lakini, kama iko reported ndiyo basi tena.
 
kama umesoma hio link ya duolci jamaa wametengeneza server ambayo ni clone ya icloud. wanazitweak iphone zifikirie kuwa server yao ndio icloud na kuzi unlock. hapa tweak imefanywa kote kwenye simu na server.

ila kama nilivyosema hapo juu watu kama hawa sio watu wa buku kumi wanataka madela makubwa. jamaa wameunlock simu 30,000 za wizi hivyo kwa bei ya dola 60 kila simu ni mabilion ya hela hayo.

huwezi kuwa na ki iphone chako kimoja ukawafata waki unlock
 
hata device moja walikuwa wanaunlock, tena walianza na bure walikuwa wanafungua simu ambazo haziko reported, na pia walikuwa hawana uwezo wa kuondoa attached apple account (inamaana hautaweza kudownload app yoyote kutoka store ya apple) na hauwezi kuirestore simu wala ku-update os itajilock tena!!!!! kulikuwa na jamaa kama wawili wanaoweza kuzifungua wakiwamo hao doulci, sasa hivi naskia apple wameshapiga pini
 
inawezekana upo sahihi. maana kama wana tweak simu kuidanganya server software update inaweza kusolve
 
Mimi siwezi kuangalia mpaka anitumie mwenyewe.

Ni tabia mbaya.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom