Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,417
kama unatumia iphone na icloud na ukafikiri picha zako zipo salama haupo sahihi jamaa wamehack kwenye icloud ya apple na kuiba picha za celebrity kibao na kuzipost online hii ndio list
Aly and AJ Michalka,
Aubrey Plaza,
Abby Elliott,
Avril Lavigne,
Amber Heard,
Brie Larson,
Candice Swanepoel,
Cara Delevigne,
Emily Ratjakowski,
Farrah Abraham,
Gabrielle Union,
Hayden Pannettiere,
Hope Solo,
Hillary Duff,
Jenny McCarthy,
Kayley Cuoco,
Kate Upton,
Kate Bosworth,
Keke Palmer,
Kim Kardashian,
Kirsten Dunst,
Krysten Ritter,
Lea Michele,
Lizzy Caplan,
Mary Kate Olsen,
Mary Elizabeth Winstead,
Rihanna,
Scarlet Johansson,
Selena Gomez,
Vanessa Hudgens,
Wynona Ryder,
Alison Brie
and Dave Franco.
Jamaa sasa hivi ametoa account ya paypal anasema watu wakidonate mpunga wa kutosha ataleak na video zao.
Kiubinadamu sitatoa link ya hizo picha ila kuwatahadhari tu ndugu zangu munaopiga picha za uchi kwenye simu zenu hasa wadada kuwa hamupo salama na siku zinavyokwenda ndio munazidi kutokuwa salama.