1. huyu hacker alofanifanya nianzishe thread ni dalili ya kwanza. amehack icloud akatoa picha. japo apple anakataa ila kila mtu anajua ni kweli.
2. team duolci wamehack simu 30,000 nakutoa lock. simu zote zilikuwa za wizi.
3. chinese black market. kaka wale unaowaona wanapanga foleni kununua bidhaa za apple sio kwamba wanazitumia wananunua then wanaziuza maeneo kama china kwenye black markets. lakini wakipanga foleni wananunua simu locked zisizo na mikataba je wanaziuzaje?
-survey moja imefanywa australia nusu ya walionunua iphone wameenda kuziuza.
4.enterprise kuikacha apple. angalia makampun makubwa hayatumii bidhaa za apple na kama watanunua basi wanazitoa os zake wanaeka linux/windows sababu makampun haya yanajua uopenyo wao.
ushahidi huu
DoulCi hacks iOS devices through Apple's iCloud vulnerability : PERSONAL TECH : Tech Times