Hacking 101: Misamiati Muhimu na Maana Zake

CrazenKai

Member
May 21, 2021
14
29
Habari, kwa wale ambao wana interest na mambo ya udukuzi, hizi ni baadhi ya basics unazopaswa kufahamu;

Adware − Ni software iliyoundwa ili kulazimisha matangazo ya aina fulani kuonekana kwenye mtambo wako. (Aidha PC/Desktop/Simu)

Attack − Uvamizi. Ni kitendo kinachofanywa kwenye mtambo fulani ili kuchukua taarifa nyeti.

Back door − Mlango wa Pili/Wa Nyuma. Ni udhaifu unaoachwa kimakusudi kwenye programming nzima ya mtambo wako, ili kuweza kuuingilia kinyume na kawaida, kama utakuwepo ulazima.

Bot − Hii ni programu iliyotengenezwa kufanya vitu vile vile kwa kujirudia, mara nyingi zaidi kuliko ambavyo labda, binadamu angeweza. Mfano; kuhesabu idadi ya watu wanaotembelea tovuti husika na kuwapanga kikategoria. Kila sekunde!

Botnet − ikifahamika kwa jina jingine kama, 'Zombie Army' ni muunganiko wa computer zinazotumiwa bila wamiliki wao kufahamu. Sana sana zinatumika kutuma email za kitapeli, na ku 'mine' Bitcoin.

Brute force attack − Hii ni namna ya kuingilia mtambo au system husika kiautomatiki ambapo programu inasetiwa kujaribu kila aina ya password, na 'username' hadi itakapofanikiwa. Ndio njia rahisi zaidi, lakini pia inachukua muda mrefu zaidi. Hacker kuingilia account yako ya Facebook, kwa system hii anaweza tumia hata siku kumi na tano.

Buffer Overflow − Hii ni pale ambapo mambo yanajazwa kwenye allocated memory, kimakusudi, hadi icorrupt. Mfano kama storage kwa server ya Tovuti fulani, ni 250GB, Program inasetiwa kuijaza ili tovuti itoke kwenye huduma.

Clone phishing − Huu ni utapeli wa mtandaoni ambapo matapeli wanatengeneza barua pepe inayokaribia kuendana na barua pepe ya kampuni halisi, ili kuwataka watoe taarifa zao nyeti.
Mfano kama email ya CRDB bank ni 'support@crdbbank. com' basi matapeli watatengeneza email nyngne inayoendana na hiyo, kitu kama 'support@crddbank. net' kwa haraka haraka unaeza usitambue nao wanakuomba taarifa za kadi na kukupitisha kushoto.

Cracker − Huyu ni mtaalamu anaebadili programming ya software husika ili kupata huduma ambazo labda ni za kulipia.

Denial of service attack (DoS) − Haya ni majaribio ya kihuni ambapo huduma za server fulani zinakatishwa ili tovuti husika isipatikane mtandaoni.

DDoS − Distributed denial of service attack. Hii ni kama DoS, tofauti ni kuwa hii inafanywa kwa tovuti mingi zaidi.

Exploit Kit − Hii ni system ya software inayowekwa kwenye tovuti husika ili kutambua madhaifu ya simu na pc za watu wanaoitembelea tovuti husika, then kuutumia huo udhaifu mpya, kuwapandikiza virusi vitakavyoendelea kuwasiliana na tovuti bila mtumiaji wa kifaa husika kutambua.

Firewall − Hii ni software maalumu kwa ajili ya kuchuja mawasiliano ya computer yako na nyingine pale ikiwa imeunganishwa mtandaoni. Hii inasaidia kukwepa virusi. Na 'Adware'.

Keystroke logging − Ni aina ya udukuzi ambapo, kirusi kinapandikizwa kwenye system yako, aidha ya simu au computer. Na kusubiri pale utakapokuwa ukiandika taarifa nyeti, mfano 'email yako na password, ukiwa una login kwenye e-wallet yoyote, au hata username na password ukiwa unaingia JF, then kinatuma taarifa za keys utakazokuwa ukibofya, kwenye keyboard, au utakazokuwa una touch kwenye simu kwa mdukuzi/hacker. Nae kupata access kwa account yako.

Logic bomb − Ni kirusi, kinachopandikizwa kwenye system yako na kutulia, kikisubiri, logic fulani fulani kwenye code zitoke ndipo kilipuke. Sana sana, virusi vya hivi usetiwa kwendana na muda, kuwa ukifika muda fulani, pc/simu izime. Au mfano mwingine ni ukitaka kuizima simu(ukihold power off button) touch igome na button ziache fanya kazi.

Malware − ni neno la jumla linalojumuisha software zote za kidukuzi na zinazoweza leta maafa kwa mtambo wako ikiwemo computer viruses, worms, Trojan horses, ransomware, spyware, adware, scareware, na mengine.

Phishing − Huu ni utapeli wa barua pepe. Kama unavyopokea zile text za 'Ile Hela nitumie kwenye namba hii...." Ndivyo phising ilivyo kwa email. Sema sio maarufu Africa, due to matumizi madogo ya hiyo huduma. Labda ipo scam nlikutana nayo, 2016, ya "T-Mobile. Hao walikuwa wa TZ, wenye akili zao, nlichelewa tambua kuwa niko naliwa."

Phreaker − Hawa ndio ma hacker, conc. Ndio wale wenye uwezo wa ku-tap simu, kutumia MB bila kulipia, au kupiga simu za ndani na nje ya nchi, bila kulipia na kuwa traced na vyombo vya mawasiliano.
(Hii kitu 1/0% sio safe, kama huna idea na potential breaches unazoweza tengeneza. Pia inaweza kukuletea madhara, nimeona.)

Nahisi kwa kupitia misamiati kadha wa kadha, unaweza hata panua wigo wako kiakili kuhusu swala zima la hacking. Hapa ni matumizi ya akili, na ufundi kwa workflow unayobuni wewe. Sio kila hacker ni mbaya, unaweza apply knowledge kwenye mambo positive.

| Makini.
 
emoji626.png

huo mfano hausadifu kabisa maana halisi ya buffer overflow
 
Asante sanaa, hii elimu nahitaji sana. Nitakuja PM unipe madini zaidi. Mimi pia ukianzisha channel ya telegram ntajiunga kupata elimu zaidi.
 
Apo kwenye exploit kit naona website za porn wanatakua wanatumia sana kudukua video za ngono za watumiaji wao
Unajikuta ka video kako ka kunyanduana kapo porn site 😂😂😂
 
Mkuu ipo hivi ukibisha au kukosoa jambo, kosoa kwa kuweka usahihi ya jambo hilo other wise utakuwa kama wanasiasa na masuala ya kitalaam. Jibu hoja kwa kuweka hoja thats the principle of professionalism.

sikuona haja ya kukosoa icho maana yuko chaka vingi sana,

ni kama vile amekopi hayo maelezo from somewhere akabadili lugha then akapestia hapa, so hazina maana

buffer ni temporary storage kwenye RAM, na ni ya mda mfupi, buffer ikiundwa inakua tayari kupokea data , kuzitunza data kwa mda mfupi, data ikishatumika buffer inavunjwa

ukiunda buffer ya 100 Bytes, tegemea kupokea data yenye 100 Bytes ( AU PUNGUFU ), data ikizidi 100 Bytes, buffer ina overflow, kilichozidi kinaingia pahala sio pake, so system ina crash au ku freeze kabisa , buffer overflow attack inalenga ku crash iyo system

250 GB haiwezi kua size ya buffer, labda kwa servers za Pluto au NASA
 
Asante mkuu although kiungawa ilikupasa hata kumpa like jamaa maana si hatua ndogo hata kupata idea ya kuwakuza wengine juu ya hili. Tukifunze kushukuru hata kwa kidogo kilichopatikana huo ndio uungwana!!
 
sikuona haja ya kukosoa icho maana yuko chaka vingi sana,

ni kama vile amekopi hayo maelezo from somewhere akabadili lugha then akapestia hapa, so hazina maana

buffer ni temporary storage kwenye RAM, na ni ya mda mfupi, buffer ikiundwa inakua tayari kupokea data , kuzitunza data kwa mda mfupi, data ikishatumika buffer inavunjwa

ukiunda buffer ya 100 Bytes, tegemea kupokea data yenye 100 Bytes ( AU PUNGUFU ), data ikizidi 100 Bytes, buffer ina overflow, kilichozidi kinaingia pahala sio pake, so system ina crash au ku freeze kabisa , buffer overflow attack inalenga ku crash iyo system

250 GB haiwezi kua size ya buffer, labda kwa servers za Pluto au NASA
Sija mislead mkuu, naona concept ya temporary storage kujaa na as a result ku crash, inajirudia. Maelezo yako yako kitaalamu, yangu simple kwa mtu asio na idea.

Ahsante. Sehemu ingine kwenye misleading nako unaweza kosoa, 'kitaalamu.'
 
Habari, kwa wale ambao wana interest na mambo ya udukuzi, hizi ni baadhi ya basics unazopaswa kufahamu;

Adware − Ni software iliyoundwa ili kulazimisha matangazo ya aina fulani kuonekana kwenye mtambo wako. (Aidha PC/Desktop/Simu)

Attack − Uvamizi. Ni kitendo kinachofanywa kwenye mtambo fulani ili kuchukua taarifa nyeti.

Back door − Mlango wa Pili/Wa Nyuma. Ni udhaifu unaoachwa kimakusudi kwenye programming nzima ya mtambo wako, ili kuweza kuuingilia kinyume na kawaida, kama utakuwepo ulazima.

Bot − Hii ni programu iliyotengenezwa kufanya vitu vile vile kwa kujirudia, mara nyingi zaidi kuliko ambavyo labda, binadamu angeweza. Mfano; kuhesabu idadi ya watu wanaotembelea tovuti husika na kuwapanga kikategoria. Kila sekunde!

Botnet − ikifahamika kwa jina jingine kama, 'Zombie Army' ni muunganiko wa computer zinazotumiwa bila wamiliki wao kufahamu. Sana sana zinatumika kutuma email za kitapeli, na ku 'mine' Bitcoin.

Brute force attack − Hii ni namna ya kuingilia mtambo au system husika kiautomatiki ambapo programu inasetiwa kujaribu kila aina ya password, na 'username' hadi itakapofanikiwa. Ndio njia rahisi zaidi, lakini pia inachukua muda mrefu zaidi. Hacker kuingilia account yako ya Facebook, kwa system hii anaweza tumia hata siku kumi na tano.

Buffer Overflow − Hii ni pale ambapo mambo yanajazwa kwenye allocated memory, kimakusudi, hadi icorrupt. Mfano kama storage kwa server ya Tovuti fulani, ni 250GB, Program inasetiwa kuijaza ili tovuti itoke kwenye huduma.

Clone phishing − Huu ni utapeli wa mtandaoni ambapo matapeli wanatengeneza barua pepe inayokaribia kuendana na barua pepe ya kampuni halisi, ili kuwataka watoe taarifa zao nyeti.
Mfano kama email ya CRDB bank ni 'support@crdbbank. com' basi matapeli watatengeneza email nyngne inayoendana na hiyo, kitu kama 'support@crddbank. net' kwa haraka haraka unaeza usitambue nao wanakuomba taarifa za kadi na kukupitisha kushoto.

Cracker − Huyu ni mtaalamu anaebadili programming ya software husika ili kupata huduma ambazo labda ni za kulipia.

Denial of service attack (DoS) − Haya ni majaribio ya kihuni ambapo huduma za server fulani zinakatishwa ili tovuti husika isipatikane mtandaoni.

DDoS − Distributed denial of service attack. Hii ni kama DoS, tofauti ni kuwa hii inafanywa kwa tovuti mingi zaidi.

Exploit Kit − Hii ni system ya software inayowekwa kwenye tovuti husika ili kutambua madhaifu ya simu na pc za watu wanaoitembelea tovuti husika, then kuutumia huo udhaifu mpya, kuwapandikiza virusi vitakavyoendelea kuwasiliana na tovuti bila mtumiaji wa kifaa husika kutambua.

Firewall − Hii ni software maalumu kwa ajili ya kuchuja mawasiliano ya computer yako na nyingine pale ikiwa imeunganishwa mtandaoni. Hii inasaidia kukwepa virusi. Na 'Adware'.

Keystroke logging − Ni aina ya udukuzi ambapo, kirusi kinapandikizwa kwenye system yako, aidha ya simu au computer. Na kusubiri pale utakapokuwa ukiandika taarifa nyeti, mfano 'email yako na password, ukiwa una login kwenye e-wallet yoyote, au hata username na password ukiwa unaingia JF, then kinatuma taarifa za keys utakazokuwa ukibofya, kwenye keyboard, au utakazokuwa una touch kwenye simu kwa mdukuzi/hacker. Nae kupata access kwa account yako.

Logic bomb − Ni kirusi, kinachopandikizwa kwenye system yako na kutulia, kikisubiri, logic fulani fulani kwenye code zitoke ndipo kilipuke. Sana sana, virusi vya hivi usetiwa kwendana na muda, kuwa ukifika muda fulani, pc/simu izime. Au mfano mwingine ni ukitaka kuizima simu(ukihold power off button) touch igome na button ziache fanya kazi.

Malware − ni neno la jumla linalojumuisha software zote za kidukuzi na zinazoweza leta maafa kwa mtambo wako ikiwemo computer viruses, worms, Trojan horses, ransomware, spyware, adware, scareware, na mengine.

Phishing − Huu ni utapeli wa barua pepe. Kama unavyopokea zile text za 'Ile Hela nitumie kwenye namba hii...." Ndivyo phising ilivyo kwa email. Sema sio maarufu Africa, due to matumizi madogo ya hiyo huduma. Labda ipo scam nlikutana nayo, 2016, ya "T-Mobile. Hao walikuwa wa TZ, wenye akili zao, nlichelewa tambua kuwa niko naliwa."

Phreaker − Hawa ndio ma hacker, conc. Ndio wale wenye uwezo wa ku-tap simu, kutumia MB bila kulipia, au kupiga simu za ndani na nje ya nchi, bila kulipia na kuwa traced na vyombo vya mawasiliano.
(Hii kitu 1/0% sio safe, kama huna idea na potential breaches unazoweza tengeneza. Pia inaweza kukuletea madhara, nimeona.)

Nahisi kwa kupitia misamiati kadha wa kadha, unaweza hata panua wigo wako kiakili kuhusu swala zima la hacking. Hapa ni matumizi ya akili, na ufundi kwa workflow unayobuni wewe. Sio kila hacker ni mbaya, unaweza apply knowledge kwenye mambo positive.

| Makini.
"Duuh.. Umenipa madini ya nguvu kupitia uzi wako mkuu kiukweli umeingia deep sana kwa moyo mkunjufu napenda nikupe pongezi sana sio kila mtu anaweza kutanua mawazo ya wengine kiasi hichi I hope wale wote wanajilinda dhidi ya wadukuzi na wezi wa kimtandao wameweza kujua njia au mianya inayotumika kufanikisha udukuzi.

La mwisho napenda ku-washauri Content creaters na programmers wenzangu kujifunza kila siku njia mpya ya kujilinda kila siku hackers wanabuni njia mpya. hivyo usipojifunza kila siku unasaidia "Wadukuzi"
 
Back
Top Bottom