Leo nimeona kujiuliza kwanini account za watu instagram zina hackiwa sana Africa Leo had I account ilikua INA blue tick ya @Zarithebosslady wamehack na juzjuz tu walihack ya mh.Paul Makonda why....au bluterforce inahusika au ndo kuprove wafrica wapo ovyo sana kwenye usalama was kimtandao haswa wanapotumia