Bro by default that's integrated on your Chrome browser | Google voice search. So kumsikiza mtu kwa mic ya PC au simu yake it's not hacking, ni programming tu ya kawaida
yaani computer yako inakua kama bug,yaani inanasa unachoongea bila wewe kujua na kwa zile laptop zenye camera front,inakuwa inakuchukua video bila wewe kujua,ndo maana wajuzi sikuhizi wanafunika ile camera na kipande cha karatasi ama chochote na kuna laptop sikuhizi zinakuja na kijitu cha kuslide kufunika camera,
hizi mbinu wanatumia sana CIA kunasa mazungumzo ya watu ama kupata image ya mtu wanaemtafuta