ww umeshawahi kuiona website ya Usalama wa Taifa hadharani?? Sijui, huenda ni kweli ni website ya usalama wa taifa wametumia Jina la Training Instituions ku cover jina lao halisi. I personally dont know. Huyo anayesema ni ya usalama wa TAIFA ndio atuthibitishie.ya wapi? ya idara gani ya serkali? ambayo ina tumia domain name go.tz?
Wewe unasearch hiyo Website ukitfuta nini ????? Kama siyo muhusika obviously lazima usiipate.. Website ya TISS siyo serach engine kama Google na kuendelea...Jaribu ku search website ya tiss kama iko hewan muda huu
Jaribu ku search website ya tiss kama iko hewan muda huu
sijawai kuona kama wana website... na website watangaze nini kwa umma?ww umeshawahi kuiona website ya Usalama wa Taifa hadharani?? Sijui, huenda ni kweli ni website ya usalama wa taifa wametumia Jina la Training Instituions ku cover jina lao halisi. I personally dont know. Huyo anayesema ni ya usalama wa TAIFA ndio atuthibitishie.
ULILETA HII HABARITHREAD IMEFUTWA.
SABABU:..Niliitoa post kwenye mitandao ya jamii ambako wamekosea kuweka kirefu cha T.I.IS, kirefu cha TIIS ni Training Institution Information System kimechanganywa na kile cha TISS Tanzania Intelligence And Security ( usalama wa taifa) Thread ilibidi ilenge kuwa Training Institution Information System ndio muhusika, kwa bahati mbaya hakuna option ya ku edit kichwa cha habari. Site iliyokumbwa na hili janga ni hii www.tiis.go.tz
Kumradhi
Aisee hawa hackers sio wa mchezo mchezo, Katika pitapita zangu za mitandaoni nimekuta kwamba website ya usalama wa taifa imepigwa chini na hackers ambao wameweka ujumbe wa kutaka ajira, Ni wapi tunakwenda
Unamaanisha CIA, MI6 ni wadaku?? maana hao wako mtandaoni pia...TISS wanatenda kwa hard copy ...hiyo mitandao waachie wadaku
Asee hawa mahacker ni vichwa smart sana,
juzi nimesoma step by step namna ya kuhack kwenye computer ya mtu ama laptop na kuigeuza kuwa listen device,
yaani computer yako inakuwa hacked,ndani ya computer kuna mic inakuwa turned on kila unaloongea kama computer inakurecord na kutuma sauti kwenye link ambayo jamaa popote walipo hapa duniani wanaweza kuacccess,
na hata wakitaka picha yako wanaiswitch on ile camera ya mbele ya laptop inakuchukua picha ama video,
na kinachotakiwa ni email tu ya mlengwa,ambapo litatumwa file ukifungua tu tayari umenasa
Lini uliwahi kuiona? Na ilikuwajeInaweza kuwa sahihi mbona website ya TISS nimei google siioni?
Ni security bugs zinazohitaji patches, sometimes hata huhitaji kudetermine usmart wa mtu kupia viwebsite vya bongo.
nakupa mfano mmoja
Website ya TASAF imedukuliwa toka tarehe 21 November mpaka now, na admin nahisi hana hata taarifa, pitia hapa TASAF hAcKeD
View attachment 643076
kitoto.
Asee hawa mahacker ni vichwa smart sana,
juzi nimesoma step by step namna ya kuhack kwenye computer ya mtu ama laptop na kuigeuza kuwa listen device,
yaani computer yako inakuwa hacked,ndani ya computer kuna mic inakuwa turned on kila unaloongea kama computer inakurecord na kutuma sauti kwenye link ambayo jamaa popote walipo hapa duniani wanaweza kuacccess,
na hata wakitaka picha yako wanaiswitch on ile camera ya mbele ya laptop inakuchukua picha ama video,
na kinachotakiwa ni email tu ya mlengwa,ambapo litatumwa file ukifungua tu tayari umenasa
AiseeAsee hawa mahacker ni vichwa smart sana,

Kwani TISS wana website mkuu?Inaweza kuwa sahihi mbona website ya TISS nimei google siioni?