Hacked: Website ya chuo cha TIIS imedukuliwa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,378
Katika pita pita zangu za kwenye mitandaoni nimekutana na post kwamba TIIS imekuwa hacked, Watu waliohack wameweka ujumbe kwamba wanataka ajira ,,,, Shuhudia mwenyewe www.tiis.go.tz

 
Sio wabadilishe heading tuu wafute huu uzi kabisaaa hao hackers ni wpuuzi kbsaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…