HABIBU MCHANGE aka Mdude ambaye pia alikuwa kiongozi mkuu wa kikundi haramu cha MASALIA aka PM7 yuko njiapanda kuhusu hatma yake ya kisiasa.
Tangu kundi hili liliposambaratishwa (mwezi desemba mwaka jana), na kufia mbali (januari mwaka huu), kundi hili liliangukia katika mgogoro wa kuchagua mahali sahihi pa kwenda wote kwa pamoja lakini hawakuafikiana. Mazungumzo yao ya kawaida, mawasiliano yao na Vikao vyao vilikuwa na maeneo matatu ya kwenda: 1. Kuanzisha CHAUMA; 2. Kuhamia CCM 3. Kuhamia NCCR mageuzi. Pendekezo la kurudi CHADEMA na kuomba radhi lilipingwa na wengi, hasa Eddo, Mtela na Shonza.
Tangu mwanzo Shonza na Mtela wao walionekana kuchagua kwenda CCM wakiwa na sababu:
1. Kimewasaidia sana kuwaweka mjini kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hela hii imekuwa ikiwafikia wengine hata kabla ya kufukuzwa CHADEMA kupitia MTELA na mara nyingine SHONZA.
Hela za kutoka MASWA (ambapo katika awamu zote mpaka jumapili ya tarehe 24/2/2013 nilipowasiliana na mtela zinawafikia kupitia MTELA). Mtela alikuwa anapewa hela za maswa na muda mwingine za LUMUMBA na kuwafikishia wengine. Kwa mfano EDDO amekuja DAR zaidi ya mara 5 mwezi januari na februari akiwa hajalipwa mshahara miezi mi 3. Hapa ndipo alikuwa anatokea;
2. Wote walikuwa wameahidiwa AJIRA, ambapo mpaka sasa taarifa za ndani zinaonyesha kuwa atafanya kazi LINDI au MTWARA (siyo ualimu aliousomea wala si ukuu wa wilaya-kulingana na makubaliano ya awali na ya sasa). Shonza ameahidiwa kubaki Dar!.. AJIRA hizo wameahidiwa kupewa rasmi baada mizunguko ya kisiasa kuibomoa CHADEMA.
3. Ndani ya CCM watatafuta namna ya kujisafisha na kujitofautisha na mafisadi papa ili wagombee ubunge na kushinda. Mtela anaona akiwa CCM anaweza kuwa na nguvu MBOZI MASHARIKI kuliko kuwa NCCR. Vivyo hivyo Shonza analenga viti maalumu, jimbo la ubungo na jimbo la MBEYA mjini.
HABIBU Mchange kwa upande wake alisita sana kuhamia mapema kwa kuhofia kuchuja ZAIDI. Alibaki kuongoza chama cha wanamuziki wa kigoma LEKA DUTIGITE na kueandelea kula kwa jasho lao!. Hivi sasa yupo tayari kujiunga na CCM lakini ANASEMA KUWA anahofia kuporomosha IMAGE yake mbele ya jamii. Washauri wake wamemuambia akiamua kwenda CDM kuoma radhi muda huu hatapokelewa!. Wamemshauri aende CCM akatumie majukwaa yake kuisakama CHADEMA na baadaye mwaka huu arudi na kuomba radhi kwenye mkutano mkubwa wa CHADEMA!.. Huyu bro anaonekana kuukubali ushauri huu!..
MTIZAMO WANGU: Ni heri aende kuomba msamaha sasa (kama kweli ana nia ya kurudi) kuliko kuitukana CHADEMA majukwaani na baadaye kuomba kurudi. Naona hataaminiwa kabisa kuliko sasa.
SOURCE: Mimi mwenyewe kwakuwa nipo nao katika mambo mengi.

- Wazo la kuanzisha chama cha siasa (CHAUMA) - lilionekana kuwatisha wengi kwa kuhisi kuna kazi kubwa ya kukijenga chama hicho ili kiaminiwe na watanzania wengi!.
- Wazo la kuhamia NCCR lilitolewa na EDDO ambaye amekuwa akitoa sababu za kwamba angependa aendelee kuwa mpinzani na tena vijana wengi walioenda NCCR wengi wao wamefanikiwa sana kisiasa. Wenzake walilikataa wakihofia kwamba chama hicho kitawapa wakati mgumu saana kujiuza.
- Wazo la kuhamia CCM lilionekana kuungwa mkono na BWANA fedha na bibi fedha (FEDHA MAALUMU) za kutoka CCM (kuibomoa CHADEMA) na wengine kusitasita.