Habiba Umeniponza...

mkuu vp deborah inaelekea anamnato wa maana sana?
 
Wewe na Mentor tutawapotezeni hapa jf. Habari zenu tumezipata. Hatuwezi kuacha wajukuu zetu waangamie kwa ukware wenu

Yani chapchap sana

Hahahha ina maana unataka uhamishie ukware wako kwetu sie?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Pole sana
 
Nimejifunza mtawa wangu...uniombee yasinitokee tena!



Sadly hili nimelijua too late..!

Sasa hivi nangojea second chance...:cell:[/QUOTE]

@Mentor rafiki yangu unakaribia kuwa sikio la kufa.

U mtu wa matukio eeh, bado unaendelea kujifunza, utaelewa lini?

Umeniliza ujuee

 
Kwa hiyo hutaki kuamini kwamba Babu kastaafu?

Ngoja nikuitie shahidi wengine hapa...lol!!
KOKUTONA, Paloma, Mtambuzi, Mwita Maranya....

Kama unalo jengine basi unambie.......

Babu DC!!

Mentor umuwache babu apumueee, babu yetu ashaacha hiyo habari loooong alivomumuvuzisha my wife wake, i mean bibi yetu.

Utakuwa unamusisha na vitu ambavyo pengine kwa sasa ata kukimkumbusha kwa stori tu awezi kumbuka.

Nijuaavyo na nionavyo mm mjukuu wake wa kwanza kule sahare tunapoishi, yaana kwa babu Dark City no one like bibi
.

Amezeeka na amepunzika sasa analea wajukuu

 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa harusi asiwe rafiki yako tena

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Huu upeke peke wa vijana nusura unitokee puani siku moja na mimi!

Kijana wa watu nina mchumba wangu wa mda mrefu ambaye nishapiga muhuri wa moto moyoni kwamba nitafanya sarakasi zangu wee ila pale ndo destination yangu ilipo!

Binti wa watu yuko chuo by that time na mimi maisha yakawa yanaendelea....kuna huyu binti ambaye mwanzoni alikuwa rafiki tu wa kawaida kama Habiba wa Mentor,ila siku moja sijui ilikuwaje bwana nilikuja kurudiwa na akili nikakuta skirt kwenye sofa,gagulo ikining'inia kwenye feni,sidiria kule huku mtoto wa kike kapumzika pembeni yangu...basi baada ya siku ile ikawa tabia but nikaonya kwamba nina mchumba!

Hamadi siku ya siku kaja nyumbani huyu mwizi mwenzangu tuka...tukananiliu na baadae kausingizi kakanipata,heee mara simu ya mchumba hiyooo inaita,mtoto wa kike kaipokea kamjibu mwenzake jamaa kapumzika....sitaki kufikiria hali aliyokuwa nayo mchumba by that time ukizingatia waliendelea kurushiana maneno ya hapa na pale!

Asubuhi naamka nawahi kazini bila kujua nishalikoroga,nikiwa on the way mchumba ananipigia,sikupokea nikijisemea nikitulia ofisini nitampigia ila kutokana na kutingwa na mjukumu nikasahau kupiga,jioni nikaunganisha overtime kurudi nyumbani nimechoka ukizingatia nilipitia kiwanja kujidunga toti za kutosha! Sikupiga simu...

Kesho yake napigiwa simu na rafiki wa mchumba wangu whom hatukuwa na mazoea kihiivyo na kuniuliza kama nina ugomvi na mama bhooke wangu,nikamjibu siyo,kaniuliza vije amekuwa wa kulia tu siku mbili mfululizo pasi hata kula? Haah kengele ya hatari ikagonga kichwani mwangu nikampandia hewani,unajua aliniambiaje? Kwa simanzi na sauti ya kukata tamaa.....dii hata kama umenichoka huwezi kunidharau kwa kiwango hiki...nikauliza kulikoni...ndo kanipa kisa chote...nilichoka kusema kweli na since then upeke peke nikaacha na nashukuru Mungu sikuachika ila kila nikikumbuka najisikiaga unyonge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…