Habib Mchange: Rais Magufuli Wewe Ni Rais Miongoni Mwa Marais, Kaza Uzi

Naona watu wanashindwa kuelewa maana ya Upinzani na Demokrasia.

Unapoamua kuingia kwenye siasa za ushindani lazima mtawala uwe mvumilivu, waache waseme watakavyo ili mradi hawatukani.

Unapowazuia kufanya shughuli zao hapo ndipo dhana ya udikteta inapojengeka. Mikutano ya kisiasa hata ile ya ndani siku hizi inakua shida halafu bado unataka hao watu wakupende??

Wanasiasa unawaminya
Wafanyabiashara unawaminya
Walimu unawabania
Madaktari unawabania
Watumishi wa umma karibu wote hawana raha

Kwa staili hii ni nani atakaekupenda? Watu wanabaki wanakuchekea machoni lakn moyoni wamekuwekea ndita! This is very dangerous!


Hakuna anayemchukia mheshimiwa rais, la hasha! Watu wanafurahia Utendaji kazi uliotukuka, kama vile ujenzi wa barabara,reli, bandari, airports

Tatizo ni pale anapoonekana kufanya upendeleo na kuminya uhuru wa kujieleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 548428 Aidha Bwana Mchange amewataka Chadema wamuache Umbea kwa kumshambulia Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kwa vile mpinzani wa kweli siyo lasima awe ni yule anashabikia CHADEMA
Mku umerudi chamani sio .Wenzako wemeshaukwaa uongozi na ww jisogezesogeze unaweza na ww ukaukwaa kwani bado teuzi zinaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchange si wa kumlaumu kijana amechanganyikiwa njaa kali kang'ang'ana na gereji bubu ya ACT ndo tawi alobakuwa nalo kukamata ila kitumbo yupo ccm ,tulivyomshauri aje awe mjasiliamali akakataa matatizo yake ndo haya
 
Back
Top Bottom