Habati soda wapi inapatikana

Habati soda wapi inapatikana

kama uko dar es salaam nenda maduka yaliyoko mtaa wa pemba/sikukuu yanaangalia soko dogo kariakoo utapata.
 
Mkuu kwa huku nlipo robo kilo ni 10,000.
Miski pia kuna ya mafuta na ya unga kichupa ni 3000. ya unga unapimiwa kijiko kile kidogo 1000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habbat Soda
Marash Muje
Maji Maiti
Mayai Viza
Ubani Dhukra
Ubani Mashtaka
Sanda
Nazi mbovu
Maduka ya uchawi asili na albadili.

Mlonge
Mchaichai
Aloe Vera
Mzizi wa mpera
Mbegu za maboga
Mdalasini
Tangawizi
Maduka ya Dawa asili/ Tiba Mbadala
 
yap na ndo muhusika na ndo uwa anazunguka misikiti mikubwa anauza hata iyo moshi unayo ambiwa ni uyo uyo ndo muuzaji
Labda kama unamuunganishia dili.

Lakini habbat sawda haijawahi kuwa adimu kiasi cha kuwa inapatikana kwa mchuuzi mmoja tu maarufu.

inapatikana karibu katika kila duka la dawa za asili.

Na karibu kila msikiti unaoswaliwa sala ya ijumaa hiyo kitu unaweza kupata.

Na sababu ya kupatikana sana karibu na misikitini ni kwavile huo 'mmea' umetajwa katika mafundisho ya mtume Muhammad (SAW) kuwa ni tiba ya magonjwa karibu yote.
 
Kuna shida kwani nikimpa mtu dili?
 
Back
Top Bottom