kama amujui muulize ni kitu gani badala ya kukejeli,iki ni kiungo ambacho ni dawa piamkuu hiyo ni soda mpya nini???
Bei yake ni kiasi gani na pia inaijui misk?Nenda kwenye maduka ya Dawa za asili.
Sawa ngoja nitembelee ukoMara nyingi hayo mafuta y habat sauda yanapatikana kwenye maduka y waislam.....Nakumbuka mwaka jana niliyanunua nje y msikiti w Riyadhwa Moshi......Na bei yke n cheeee kichupa ki1 nilinunua kwa sh.5500
Mkuu ndo anausika na hivi vitu au inakuaje?mtafute uyo 0713723563
yap na ndo muhusika na ndo uwa anazunguka misikiti mikubwa anauza hata iyo moshi unayo ambiwa ni uyo uyo ndo muuzaji
Asante mkuuView attachment 576460
hoyo hapo,, ndio habbat soda
MOD'View attachment 576460 WAMEHAMISHA HUU UZI SIO WA MAPEZNI
Tembelea maduka ya DAWA za asili au DAWA za kisunna,
Sasa anaweza kukutumia kwel mkuu me niko mkoa wa mara uku!!!yap na ndo muhusika na ndo uwa anazunguka misikiti mikubwa anauza hata iyo moshi unayo ambiwa ni uyo uyo ndo muuzaji
atakutumia we mpigie muelewane