Habari

Habari

Bky

New Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Nawasalimia wakuu, Mimi ni mgeni kwenye jukwaa naomba baraka zenu.
 
Nawasalimia wakuu, Mimi ni mgeni kwenye jukwaa naomba baraka zenu.

:israel:....... Kuku mgeni huwa anafungwa kamba mguuni... karibu humu ndani usipaparike wala usikurupuke, lete busara zako... ... maoni yako .........kuwa mkweli.... matusi na kashfa sio mahala pake...:bange:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom