Mambo zenu ..kwa jina naitwa Angelina naweza sema sio mzoefu Sana na mazingira ya humu ..lakini nilichofurahi nimekuta positive people ambao unaweza omba ushauri na wakakushauri vizur tu , jokes za hapa na pale pia hufurahisha Asante Sana kwa kipindi kichache nimetangaza biashara yangu Kuna wapioipokea and am greatful for that ...asanteni Sana π don't forget guys kwa kuku wa kienyeji walishiba unaweza ni dm nafanya delivery pia
View attachment 1485905