Habari zisizokuwa rasim Pesa ya Mpya ya BOT Imeibiwa Airport!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kuna ukweli kuwa pesa mpya ya BOT imeibiwa Airport je kuna mwenye ukweli huu??
 
Add some meat kwenye hii habari... Unamaanisha nini by pesa mpya imeibiwa.... Kwani ipo moja?? please elaborate:A S-confused1:
 
Namaanisha pesa mpya ambayo imetengenezwa juzi au ujui kama tz tuna new currency??
 
Hivi kwanini BOT Haitakikuweka wazi swala la wizi pale AIRPORT??Wakati habari zinazidi kuzagaamtaani?kwanini wasiwaondolee wasiwasi wananchi??hii imekaaje wakuu??
 
itakuwa ngumu sana kuweka wazi..........................mzigomwingine huo kuubeba kama kweli+dowans tutajuta kuiruhusu ccm kutawala tena,,,,,,,,,,,,,hawatasema ngo'
 
Inawezekana ikawa ni wenyewe wameiba...
Inawezekana SI SI Si AIM wamepanga
Inawezekana Wanafidia gharama za election
Inawezekana Tetesi zi za kweli
INawezekana nchi Haiko makini
Inawezekana hatuna viongozi
Inawezekana NI KWELI hizo pesa zimeibiwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Add some meat kwenye hii habari... Unamaanisha nini by pesa mpya imeibiwa.... Kwani ipo moja?? please elaborate:A S-confused1:
Voice of reason ni kwamba wakati wanaziimport hizo pesa mpya kuna bunch moja ambayo ni ya 10Billion iliibiwa pale Airport sasa nadhani ndicho kaka kiiza anachotaka kuwa na hakika ila ni kweli zimeibiwa pale airport na hakuna maelezo na wanataka iishie hewani hewani tu..
....inasikitisha sana,
 
Jamani hizi siyo tetesi ni za kweli nimeshazina zaidi ya x2 ila hazijawekwa official kwa kutamkwa na wenyewe kama tulivyozoea linafichwa sana na vyombo vya ulinzi na usalama kwa uzembe wao na kulinda maslahi ya serikali iliyoko madarakani ila nilivyozipata mimi kwenye wikiliki ya minazini ni kuwa ni billioni kumi tu wenye habari zaidi kwa uhakika hasa walioko maeneo ya JKN. Watujuze jamvini jamani

Kumbuka kuwa kama ni kweli za BoT matumizi yake yatakuwa magumu kidogo kutokana kuwa na Namba za pesa hizo maana watakuwa na uwezo mkubwa kuzitrack kwenye mzunguko wa kawaida lakini kama kuna ufisadi hapo watanyamaza hatatangaza na zitaingia kwenye mzunguko kama kawaida then Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
 
Voice of reason ni kwamba wakati wanaziimport hizo pesa mpya kuna bunch moja ambayo ni ya 10Billion iliibiwa pale Airport sasa nadhani ndicho kaka kiiza anachotaka kuwa na hakika ila ni kweli zimeibiwa pale airport na hakuna maelezo na wanataka iishie hewani hewani tu..
....inasikitisha sana,
habari ndio hiyo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,weweeeeeeeeee wera wera haijawahi kutokea wizi wa bilon kumi hahahaha kahawa.com
 
Mwaga ugali nimwage mboga wameona upuuzi vyombo vya dola wao wakwapue za dowans kinyemela nyemela nawao wameona isiwetabu!!
 
Airport!!?? Fedha zikiingizwa nchini!!?? Zikiwa chini ya ulinzi!!?? kuna jambo..... Guys, im sure kuna wakubwa washazifisadi. Kwa ninavyojua fedha inavyopewa ulinzi wa hali ya juu, alafu zije zipotee bila risasi kurindima, watu kuuawa, jeshi la polisi kutoa tamko, BOT kukaa kimya.... tusidanganyane hapo.
 
Hivi kwanini BOT Haitakikuweka wazi swala la wizi pale AIRPORT??Wakati habari zinazidi kuzagaamtaani?kwanini wasiwaondolee wasiwasi wananchi??hii imekaaje wakuu??

Wakuu mbona mnaonekana mna taarifa,lakini hamtaki kutujuza vizuri?
 
Hujasikia hali ya CCM kifedha ni mbaya? wewe unafikiri NGO za CCM watalipana kitu gani umafya usipofanyika.
 
Back
Top Bottom