habari zenyu binafsi jamani

Baba Kimoko, ni kweli u mgeni. Vipi kuhusu Avatar ya kike na wewe ni Baba Kimoko? BTW, thread yako si ya kisiasa. Inaonekana kuhusika zaidi kwenye jukwaa la utambulisho au chit-chat.
 
Mbona avatar ya kike?, Na kama kweli wewe ni mgeni umejuaje haraka namna hiyo kugonga likes, na hata kuweka hiyo avatar, nina wasi wasi kuna baadhi ya Magamba yanaanza kuconceal identity!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom