Habari zenu

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,270
Reaction score
29,939
1. Habari zenu wana team.

2. Habari zenu ma singe lady wote.

3. Habari zenu ma single boys wote ambao mnaharibu mabinti wawatu mahusiano Miaka 5 na hakuna hata dalili ya ndoa.

4. Habari zenu dada wote ambao mnamatarajio makubwa na Ndoa lakini bado Mungu hajatoa kibali.

5. Habari zenu wakaka wote ambao mnataka kuoa lakini hamtaki tu kwa kiburi eti mpaka kutest yaliyomo.

6.Habari zenu wanandoa wote ambao mmeshaoa lakini bado tente za wadada wa humu zinawatoa nduki.

7. Habari zenu wanandoa wote ambao mmefunga ndoa lakini mwisho wa siku mnajilaumu kwanini mmewahi kuoa/kuolewa baada ya kukutana na Wadada/Wakaka wenye viwango.

8. Habari zenu nyote ambao mpo Online kwa sasa lakini hata salamu tu kwa wanateam wenzako imekushinda.

9. Habari zenu wote ambao mlinyimwa raha na Panya Road siku chache zilizopita.

10. Habari zenu nyote ambao Mwaka huu ndio mmeanza kuingiwa na wazo la kufunga Ndoa kama fulani.

11. Habari zenu wadada/wakaka ambao mnawachumba zenu ali hali unajua kabisa wew ni spare tyre.

12. Habari zenu wadada/wakaka wote ambao wanajua nini maana ya mahusiano.

13. Habari zenu wote humu ndani mpo busy na kazi kila siku hata Jumapili unashindwa kuchati japo salam na wenzako.


14. Habari zenu wote ambao huwa mnasali na kufanya Ibada siku za sikukuu tu.

15. Habari zenu wakaka wote ambao mmewavalisha Pete za engagement wachumba zenu huu sasa ni Mwaka wa 5, muhurumie mwenzako siyo keyholder.
 
Kama ingekuwa huu uzi ni maarifa yako binafsi kwa kuandika hiyo mistari...Kwanza kabixa ningeanza kwa kujibu salamu yako huku nikistaajabia ubunifu wako.

LAKNI...KWA KUWA UMEKOPIIII....NIMEKUTAMBUA, Ivvoo tuu yatosha.
 
Kama ingekuwa huu uzi ni maarifa yako binafsi kwa kuandika hiyo mistari...Kwanza kabixa ningeanza kwa kujibu salamu yako huku nikistaajabia ubunifu wako.

LAKNI...KWA KUWA UMEKOPIIII....NIMEKUTAMBUA, Ivvoo tuu yatosha.

Kumbe amekopi looooo
 
Yaani! Huo uzi umeenea kweny cm tz nzima hadi ume-expire.

Lete maarifa yako humu watu wanufaike na ubunifu wako kwa jambo/mambo mapya.

Hizi akili za kukopi na kupest kweli utapewa ofisi uiendeshe na kuisimamia kwa akili hizi kweli? Kam hawa ndo wanakuja humu kusema ooh inaonesha yule msicha ananipenda..ila mi na yey ni marafk wa cku nying tu. Sasa wadau naombeni ushauri nifanyeje na uyu mdada.!

Mkikazana kula mayai ya broilers ndo akili hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…