M mitazamo ya mbele New Member Joined Apr 11, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Apr 12, 2012 #1 Ninayo furaha kujumuika na watanzania wenzangu katika kufanya hii kazi ya kuelimisha jamii,shukrani ziwafikie wana jamii wenzangu kwa yale mnayoyafanya katika jamii forums.
Ninayo furaha kujumuika na watanzania wenzangu katika kufanya hii kazi ya kuelimisha jamii,shukrani ziwafikie wana jamii wenzangu kwa yale mnayoyafanya katika jamii forums.
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,451 Reaction score 10,027 Apr 12, 2012 #2 karibu sana jisikie upo home! Mimi ndio naitaga majina humu ndani(attendance) asubuhi na jioni
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Apr 12, 2012 #3 Welcome
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,877 Reaction score 13,866 Apr 13, 2012 #4 Karibu sana mkuu,wasio watz huwasalimii?