Habari zenu wasomaji wa kurasa huu

Habari zenu wasomaji wa kurasa huu

MASSANGA

New Member
Joined
Feb 22, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Napenda kuwapongeza wasomi na wachania mada mbalimbali, nalotaka kuasa we must write topics which will make people to think which should not be bios and too logical,i have been reading some articles which actually we need to be carefully.
 
Hivi mkuu ndio unajitambulisha au unachimba bit?????? :A S 13:
 
Hapa ktk hili jukwaa huna haja ya kuthink hapa ni kucheka kwa kwenda mbele.
 
wewe umepotea jukwaa nanzan mana ulizan jukwaa la casa hii umekosea hili ni jukwaa la KUCHEKA,UTAN,MASIHARA KWA KWENDA MBELE
 
mi comment ndo zinaniacha hoi!!!cna mbav!
 
Mkuu umeingia choo cha kike., rudi nyuma then kata kushoto, mlango wa pili kusini :msela:
 
Kiwanja hiki co shuka habari maelezo. Ila huruhusiwi kumpiga picha yoyote.
 
Umepotea chumba, hiki ni chumba cha masikhara.
 
kwani huyu nae katoka wapi? ndio kwanza post ya kwanza na anamfundisha babake jinsi ya kutengeneza watoto! M zima kweli huyu?
 
kwani huyu nae katoka wapi? ndio kwanza post ya kwanza na anamfundisha babake jinsi ya kutengeneza watoto! M zima kweli huyu?
hahahahahaha anawafundisha wachina kutengeneza vi2 fake!
 
Napenda kuwapongeza wasomi na wachania mada mbalimbali, nalotaka kuasa we must write topics which will make people to think which should not be bios and too logical,i have been reading some articles which actually we need to be carefully.
Kasome kwanza tuisheni ya Kiswahili na Kiingereza!
Kujua kwingi.....!
 
wewe nawe wa wapi? nani anataka maoni yako hapa?

kila mtu akisema analotaka watu wafanye kwenye jukwaa lipi si itakua fujo?

nenda kajitambulihe kwenye jukwaa la wageni
 
kuku mgeni hakosi kamba mguuni jamani nendeni taratibu!
 
Napenda kuwapongeza wasomi na wachania mada mbalimbali, nalotaka kuasa we must write topics which will make people to think which should not be bios and too logical,i have been reading some articles which actually we need to be carefully.

ama kweli umetoka kwenye masanga
 
ebwanae hili gundu!mara umeingia choo cha kike,ingia mlango wa kusini,mara wawapi?wazo zaidi weka cv yako upewe kazi kwenye chumba hiki maana zipo nyingi,kucheka,kusonya,kama hapo naona umenuna ni moja ya kazi za ukurasa huu!
 
Back
Top Bottom