Black Rose
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 243
- 171
Naomba kuwa mwanachama mwenzenu.
Asante mwaya..Karibu.
ndiyo mambo gani hayo?ilauc2letee mambo ya fb
dah..karibu sana BR lakini umekuja moja kwa moja jamvini na kuketi hujapitia pale maulizo upewe daftari la wageni.
Wakware wote wamekuwa wapole na makaribisho ya kinafiki huku miudenda ikiwatoka kama fisi!