Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Feb 17, 2017 #2 Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii?
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,199 Reaction score 74,008 Feb 17, 2017 #3 Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Ndiyo, nilikua Makete mwaka 2013 kipindi hicho ilianzishwa operesheni dondosha mkono sweta, wahitaji wa huduma walikua wengi sana.
Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Ndiyo, nilikua Makete mwaka 2013 kipindi hicho ilianzishwa operesheni dondosha mkono sweta, wahitaji wa huduma walikua wengi sana.
Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,032 Feb 17, 2017 #4 Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Wapo kuna makabila yanapinga japo Elimu inaendelea kuenezwa umuhimu wa Tohara
Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Wapo kuna makabila yanapinga japo Elimu inaendelea kuenezwa umuhimu wa Tohara
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,727 Reaction score 37,030 Feb 17, 2017 #5 Hiyo ni habari ya mji gani? embu nyie wavulana wa mikoani amkeni usingizini
Mfilisti JF-Expert Member Joined Sep 24, 2015 Posts 3,727 Reaction score 19,465 Feb 17, 2017 #6 kumbe mkono wa swetaaaa🙁🙁🙁
McCain JF-Expert Member Joined Dec 2, 2016 Posts 1,168 Reaction score 517 Feb 17, 2017 Thread starter #7 Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Nenda anakotokea trump wa Tanzania /kwa wasukuma unaweza ona hata yeye bado
Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Nenda anakotokea trump wa Tanzania /kwa wasukuma unaweza ona hata yeye bado
McCain JF-Expert Member Joined Dec 2, 2016 Posts 1,168 Reaction score 517 Feb 17, 2017 Thread starter #8 MIXOLOGIST said: Hiyo ni habari ya mji gani? embu nyie wavulana wa mikoani amkeni usingizini Click to expand... Rorya mikono sweta kibao
MIXOLOGIST said: Hiyo ni habari ya mji gani? embu nyie wavulana wa mikoani amkeni usingizini Click to expand... Rorya mikono sweta kibao
McCain JF-Expert Member Joined Dec 2, 2016 Posts 1,168 Reaction score 517 Feb 17, 2017 Thread starter #9 Hata jijini dar wapo kibao tena wengine ni maarufu
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Feb 17, 2017 #10 Wasukuma njooni mtuhabarishe.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,448 Reaction score 176,426 Feb 17, 2017 #11 Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Hadi waanzishiwe kampeni ujue wapo.
Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Hadi waanzishiwe kampeni ujue wapo.
McCain JF-Expert Member Joined Dec 2, 2016 Posts 1,168 Reaction score 517 Feb 17, 2017 Thread starter #12 Sky Eclat said: Wasukuma njooni mtuhabarishe. Click to expand... Wanaongoza kwa kudondosha mkono sweta ni wilaya ya tunduru/songea kule unaweza fika na dem hadi kitandani ila akishagundua umevaa sweta unanyanyanywa tonge mdomoni bila kuamini
Sky Eclat said: Wasukuma njooni mtuhabarishe. Click to expand... Wanaongoza kwa kudondosha mkono sweta ni wilaya ya tunduru/songea kule unaweza fika na dem hadi kitandani ila akishagundua umevaa sweta unanyanyanywa tonge mdomoni bila kuamini
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,509 Reaction score 119,344 Feb 17, 2017 #13 Hivi kwa nini tunamfundisha Mungu kazi? Yeye katupatia mikono ya sweta, sisi tunaitoa...
McCain JF-Expert Member Joined Dec 2, 2016 Posts 1,168 Reaction score 517 Feb 17, 2017 Thread starter #14 Eli79 said: Hivi kwa nini tunamfundisha Mungu kazi? Yeye katupatia mikono ya sweta, sisi tunaitoa... Click to expand... Mkuu bila shaka utakuwa ni msukuma hii mikono ya sweta kwa wayao ni sawa na unga kwa serikali ya Tanzania
Eli79 said: Hivi kwa nini tunamfundisha Mungu kazi? Yeye katupatia mikono ya sweta, sisi tunaitoa... Click to expand... Mkuu bila shaka utakuwa ni msukuma hii mikono ya sweta kwa wayao ni sawa na unga kwa serikali ya Tanzania
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Feb 17, 2017 #15 Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Wengi mno Sky Éclat
Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Wengi mno Sky Éclat
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,532 Reaction score 105,241 Feb 17, 2017 #16 Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Tupo aiseeeee......
Sky Eclat said: Hivi Tanzania kuna wanaume ambao hawajapitia hii? Click to expand... Tupo aiseeeee......
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Feb 17, 2017 #17 McCain said: Nenda anakotokea trump wa Tanzania /kwa wasukuma unaweza ona hata yeye bado Click to expand... Tayari mbona nina ushahidi
McCain said: Nenda anakotokea trump wa Tanzania /kwa wasukuma unaweza ona hata yeye bado Click to expand... Tayari mbona nina ushahidi
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Feb 17, 2017 #18 Ushimen said: Tupo aiseeeee...... Click to expand... hhahaah Ushimen hebu tupia kapicha kake tuone hahahahahah
Ushimen said: Tupo aiseeeee...... Click to expand... hhahaah Ushimen hebu tupia kapicha kake tuone hahahahahah
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Feb 17, 2017 #19 Eli79 said: Hivi kwa nini tunamfundisha Mungu kazi? Yeye katupatia mikono ya sweta, sisi tunaitoa... Click to expand... Acha mwaya usitoe baki nalo hivyohivyo!
Eli79 said: Hivi kwa nini tunamfundisha Mungu kazi? Yeye katupatia mikono ya sweta, sisi tunaitoa... Click to expand... Acha mwaya usitoe baki nalo hivyohivyo!
Patience123 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2013 Posts 5,092 Reaction score 8,786 Feb 17, 2017 #20 Eli79 said: Hivi kwa nini tunamfundisha Mungu kazi? Yeye katupatia mikono ya sweta, sisi tunaitoa... Click to expand... Iti..!!!??? Tetaki needho..!
Eli79 said: Hivi kwa nini tunamfundisha Mungu kazi? Yeye katupatia mikono ya sweta, sisi tunaitoa... Click to expand... Iti..!!!??? Tetaki needho..!