Habari ya mjini selfie

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,983
Reaction score
1,252,306
Kala kipondo na selfie juu
Kwa sasa kila mtu ni mpiga na mpigwa picha. Ugonjwa wa kupenda picha mbaya sana
Mama na mwana(heheee watajuaje nae ana mtoto) style mpya ya kuringishia watoto
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] angevunja rekodi
Si angeweka tu papuchi yake, manyonyo na wowowo ili apate sifa zaidi. Mitandao ukiwa na akili fupi ni noma sana.
 
Selfee ni ugonjqa hatari na unaenea kwa kasi zaidi ya kansa.
 
Wakibondo pole yake! Hao wa mimba na watoto huku wako uchi ni ma imbecile they are doomed for life!
 
Siku hizi laana ya mama kumvulia nguo mwanaye sio effective kabisa.
 
Mitandaoni kuna mambo Best. Mie mara ya kwanza kuona mitandao ya hivi hitimisho langu lilikuwa kwamba ni wala unga walioshindwa na maisha lakini baadaye nikaja kukugundua baadhi ni wasomi wa hali ya juu na wana nafasi za juu sana makazini kwao lakini hili la kujianika hadharani kwa strangers wala haliwapi tabu. Sasa naona linangia nchini mwetu kwa kasi ya kutisha sana. Mitandao ni shida Best.

 
angepatiwa kichapo kingine kwa kupost hizi picha
 
Wala mitandao haina shida, sisi ndio tuna shida kubwa saaana na kukosa nidhamu...
Hii mitandao haikuwekwa kwa lengo la sie kujianika huko tena tukiwa watupu hapana!!!!!

Ni ulimbukeni tu wala hamna kingine best..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…