mlokole
Member
- Dec 8, 2006
- 14
- 3
Tunasikitika kuwatangazia kuondokewa na mzazi wetu mpendwa Bwana Omar Hassan Suleiman Huko Zanzibar usiku wa jana Jumanne na kizikwa hii leo Kiembe Samaki Zanzibar saa saba mchana. Mwenyezi mungu ampe malazi mema ya milele na ustahamilivu kwa sisi wafiwa katika kipindi hichi kigumu cha msiba wa mzee wetu, amin.