Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,312
- 105,657
Tanzania kila gazeti tabloid.Wanabodi,
Kupitia bandiko hili, imeripotiwa kuwa gazeti serious la serikali, The Daily News, ameripoti habari hii ya Dr. Shika
'Bilionea' Dr. Shika hana sehemu ya kulala, analala kituo cha magari Mnazi Mmoja Dar
Yule Bilionea wa 900 itapendeza hana pa kulala, bado anasubiri hela zake kutoka Russia. === FAMOUS 'BILLIONAIRE' SHIKA TURNS HOMELESS FAMOUS Dr Louis Shika— billionaire without cash—as he has nicknamed himself, is now putting up at Mnazi Mmoja bus stand in Dar es Salaam, the ‘Daily News’...www.jamiiforums.com
Imeripotiwa in a form of ridiculous as if Dr. Shika is just a normal person!. He is not!. Dr. Shika is a special case who needs assistance, privacy and treatment na siyo to ridiculed!
This is the highest points of unethical behaviour and unprofessionalism. Dada Tuma, weledi wake sis Gandhi yeti tunaufahamu tangu Kia newsroom ya RTD, usiruhusu vijana wako watuletee habari kama za yale magazeti ya makorokocho.
Hali ya Dr. Shika niliwahi kuizungumza humu
Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.
Wanabodi, Declaration of Interest Hakuna binadamu ambaye ni mkamilifu, kufuatia hali fulani fulani, mtu ambaye ni mzima kabisa huweza kughafilika. Mimi mwenyewe hapa ni mzima kabisa, lakini kwenye my love for rough riding the big bikes, nilikuwa a rough rider na kughafilika kwenda mwendo kasi...www.jamiiforums.com
Maadam Daily News imekuwa wa kwanza ku-scoop hii homelessness ya Dr. Shika, please be the first to help out.
Paskali.
Ndio maana huwezi kukuta gazeti limechapisha masahihisho kwa habari lililokosea hata spelling tu.
Ukisoma The New York Times utaona kuna sehemu hiyo wanaandika masahihisho kila siku, wakikosea hata herufi moja ya jina, ukiwasahihisha in time, kesho yake unakuta wamekuomba radhi na kusahihisha jina.