Habari ya Dr. Shika Daily News: Dear Daily News, you are a broadsheet and not a tabloid!, habari za udaku, umbeya na udhalilishaji waachieni Tabloids!

Wanabodi,

Kupitia bandiko hili, imeripotiwa kuwa gazeti serious la serikali, The Daily News, ameripoti habari hii ya Dr. Shika

Imeripotiwa in a form of ridiculous as if Dr. Shika is just a normal person!. He is not!. Dr. Shika is a special case who needs assistance, privacy and treatment na siyo to ridiculed!

This is the highest points of unethical behaviour and unprofessionalism. Dada Tuma, weledi wake sis Gandhi yeti tunaufahamu tangu Kia newsroom ya RTD, usiruhusu vijana wako watuletee habari kama za yale magazeti ya makorokocho.

Hali ya Dr. Shika niliwahi kuizungumza humu


Maadam Daily News imekuwa wa kwanza ku-scoop hii homelessness ya Dr. Shika, please be the first to help out.
Paskali.
Tanzania kila gazeti tabloid.

Ndio maana huwezi kukuta gazeti limechapisha masahihisho kwa habari lililokosea hata spelling tu.

Ukisoma The New York Times utaona kuna sehemu hiyo wanaandika masahihisho kila siku, wakikosea hata herufi moja ya jina, ukiwasahihisha in time, kesho yake unakuta wamekuomba radhi na kusahihisha jina.
 
Dr Shika nampataje, simpati hewani
Screenshot_20191031-140221.png
 
Sijaona tatizo kwa Daily News kuandika iliyoyaandika. Dokta, kama mtu maarufu, anastahili kusaidiwa. Nimeiona kwenye azam TV pia. Ukishindwa kusaidia saidia watu kusaidia kama walivyofanya wao. Dada Tuma, kama upo hapo, keep it up.
Daily News halikumuandika Dr. Shika kama mtu anayehitaji msaada, liliandika kumkejeri nami halikunifurahisha hilo.
 
Ta paskali rafiki yangu, huyu mtu kweli anahitaji huruma ili afanikiwe mipango yake juzi nilimwona stand hapa posta akiwaonyesha papaer zake za mahela kutoka Kenya Diamond Trsut bank, kweli madola anayo rafini serikali haimsaidii kama ni kufoji awezi kufoji kwa kiwango hiki jamani
 
Sijaona tatizo kwa Daily News kuandika iliyoyaandika. Dokta, kama mtu maarufu, anastahili kusaidiwa. Nimeiona kwenye azam TV pia. Ukishindwa kusaidia saidia watu kusaidia kama walivyofanya wao. Dada Tuma, kama upo hapo, keep it up.
Nakubaliana na wewe, na nina imani hata aliyeileta mada hapa anafahamu hilo. Si lazima kumsaidia mtu iwe kwa staili ile ile kwa sote. Daily news wangeweza kusaidia katika namna tofauti na kuiandika/kuishabikia hii issue. Hotels and Guest houses serve the same purpose but have different standards.
 
Ta paskali rafiki yangu, huyu mtu kweli anahitaji huruma ili afanikiwe mipango yake juzi nilimwona stand hapa posta akiwaonyesha papaer zake za mahela kutoka Kenya Diamond Trsut bank, kweli madola anayo rafini serikali haimsaidii kama ni kufoji awezi kufoji kwa kiwango hiki jamani
Dr. Shika ni mtu aliyepo kwenye hali fulani, hizo pesa anazofuatilia ni zile cyber hoax mtu anajifanya ana millions mtoe mgawane keisha anahitaji umtumie pesa kwa western union.

Banking transactions zote makato yanakatwa from the source kisha huku zinafika less. Yaani binadamu hawana huruma wanamuibia hadi mtu wa hali hii!.
P
 
Daily News ni gazeti la ccm kama ilivyo kwa uhuru, na Tanzanite
Daily News sio gazeti la CCM, ni gazeti la serikali , Jopo serikali aliyepo ni ya CCM, lakini bado CCM ni CCM na serikali ni serikali, hivyo vyombo vya habari vya serikali ni vyombo vya serikali kama ilivyo Idara ya Habari Maelezo, TBC, TBC Taifa, TBC FM na Gazeti la Habari Leo. Vyombo vya habari cha CCM ni gazeti la Uhuru/Mzalendo, Radio Uhuru, Channel Ten na Magic FM.
P
 
Tanzania kila gazeti tabloid.

Ndio maana huwezi kukuta gazeti limechapisha masahihisho kwa habari lililokosea hata spelling tu.

Ukisoma The New York Times utaona kuna sehemu hiyo wanaandika masahihisho kila siku, wakikosea hata herufi moja ya jina, ukiwasahihisha in time, kesho yake unakuta wamekuombabradhi na kusahihisha jina.
Kwenye local media, Tanzania bado tuna safari ndefu.
P
 
Vyombo vyetu vya habari vimejaa watu wa hovyo hovyo tu ndiyo maana hata vinayoandika ni ya hovyo hovyo.

Mwaka wa nne sijasoma gazeti la kiswahili hovyo kabisa.
Haya ndio maswali gani, kwani siku hizi ukitaka kuongea kitu, unawajibika kusema unaongea kama nani?, Mkuu Beira Baby...Boy vipi wewe?.
P
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom