Pia nimeomba kujua maana hapa kazini kuna rafiki yetu ana iPhone 11 sisi wengine tunatumia Android tunacheza kwa kushindana free DLS19 Na yeye ametamani aungwe sasa yeye kwenye app store lipo DLS 24
Nimejaribu kuwaza na kutafakari:
Hivi mtu anayeuliza mambo ya magemu humu anaweza kuwa na umri gani? Je, amekomaa kiakili, kihisia, kifikra? Je, ana majukumu yoyote ya kifamilia au kikazi?
Mleta mada nisamehe kwa hizo hoja zangu, mimi ni old school.

Nimekuelewa sana mkuu But Hata vidole vya mikono havilingani hapa tupo rika tofauti tofauti na majukumu pia tofauti hayo magame tunakaa nayo kwenye simu coz kuna muda mtu una refresh akili ππ½ππ½ππ½
Hawezi,labda angekuwa apate kwa mtu ambae analo mwenye iPhone amrushie na hapo litahitaji data mtandaoni ili liji install so, kama halipo huko kwenye store yao tunasema imejiramba yenyewe!.
sikuzote huwa naandika iPhone ni gereza watu hamuelewi!.