Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,053 Reaction score 3,271 Oct 8, 2017 #1 Naomba kuuliza, wapi naweza nikapata meza ya plastic kama zile wanazotumia watu wanaosajili laini? Pia mwenye kujua bei yake naomba anijulishe. Miguu ya hiyo meza huwa inaweza kutolewa na kuwekwa (portable) Nipo DSM kimara
Naomba kuuliza, wapi naweza nikapata meza ya plastic kama zile wanazotumia watu wanaosajili laini? Pia mwenye kujua bei yake naomba anijulishe. Miguu ya hiyo meza huwa inaweza kutolewa na kuwekwa (portable) Nipo DSM kimara
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,856 Reaction score 9,723 Oct 8, 2017 #2 Wanakuja mkuu, kuwa na subra watakujuza!!