HABARI NJEMA: UTUMISHI WAMETANGAZA NAFASI ZA CHINA MOFCOM SCHOLARSHIPS 201O20.
📌WANAHITAJIKA WATANZANIA KWENYE VYUO 39 CHINA.
💰SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA CHINA ITAKUPA VITU HIVI:
▪Gharama za usafiri
▪Fedha Za Kujikimu
▪Gharama Za Mafunzo
▪Gharama Za Matibabu
▪Utalipiwa Ada
▪Fedha Ya Vitabu Na Study Tour