Habari njema - Sensa

Habari njema - Sensa

mabereka

Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
23
Reaction score
3
wadau mh rais wakati anazindua matokeo ya sensa alisema kuna ajira zaidi ya 400 kwa ajiri ya kufanya tathimini ya sensa,hivyo nawasilisha kwenu wadau mwenye updates kuhusu tathmini hiyo itafanyika lini atupe taarifa,
 
Back
Top Bottom