Habari njema kwa wenye vibamia

Habari njema kwa wenye vibamia

ImageUploadedByJamiiForums1392639479.930253.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Ina maana hapa wanawake ndio tunatakiwa kutoa ushahidi

wa utamu wa vibamia/uume mdogo
 
Wakuu,
Ni Yule yule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa hivi karibuni na kupatwa matatatizo kadhaa yaliyosababishwa na kuchelewa kutahiriwa, yakiwemo uume kupinda kushoto na kupatwa na kizunguzungu kila nionapo makalio makubwa yakitingishika.
Leo nimekuja mbele yenu kuwaombea nafuu wale vijana wenye vibamia, Mimi sina kibamia, yangu ni above average size.
Tunaambiwa kwamba kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake, kwa maana hiyo kibamia kitakuwa na uzuri wake pia, Mara nyingi tumeona wenye vibamia wakisemwa vibaya tu. Hivyo hapa naomba wale wenye kujua uzuri/utamu wa kibamia watueleze hapa ili huu Uzi uwe habari Njema kwa wenye kibamia.

Karibuni wote

Nb: Kibamia = uume mdogo

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

ivi kuchelewa kutahirwa kunasabahisha uume kupinda ..au..ni maumbili na wakati mwengine inasababishwa na kubana kwa nguo za ndani..
hii yako mpya .. au tupatie refference
 
Ina maana hapa wanawake ndio tunatakiwa kutoa ushahidi

wa utamu wa vibamia/uume mdogo

Mchango wenu ndio unahitajika zaidi, ila ni open kwa yeyote kuchangia

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
ivi kuchelewa kutahirwa kunasabahisha uume kupinda ..au..ni maumbili na wakati mwengine inasababishwa na kubana kwa nguo za ndani..
hii yako mpya .. au tupatie refference

Mkuu, kuhusu uume kupinda ni introduction tu, changia mada tafadhali.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kuhusu uume kupinda ni introduction tu, changia mada tafadhali.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
kwabi hiuo introduction si sehemu ya mada yako ..
na ndio maana nimeanza kuchangia mada kwa kuchambua kipengelea kwa kipengele na sio kudakia mada kwnye main body ..
rekebisha kwanza ..kwamba ni maumbile then tuendelee kuchangia mada
 
Mkuu, changia mada ilyopo mezani tu. unataka uchangie kipengele kwa kipengele kwani hii ni rasimu ya katiba?

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, changia mada ilyopo mezani tu. unataka uchangie kipengele kwa kipengele kwani hii ni rasimu ya katiba?

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

kweli siasa zimewaharibu watanzania .. kila kitu siasa..
Rasimu itawanyoosha roho mwaka huu
 
Wasife moyo wanapendwa tu mbona,hahahhaha Gogle hujaleta feedback ya valentine ilikuwaje
 
Last edited by a moderator:

Valentine ilikuwa ni siku nyingine tu, si unajua tena sie masingo boy.

Back
Top Bottom