Habari njema kwa wenye vibamia

Habari njema kwa wenye vibamia

Wakuu,
Ni Yule yule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa hivi karibuni na kupatwa matatizo kadhaa yaliyosababishwa na kuchelewa kutahiriwa, yakiwemo uume kupinda kushoto na kupatwa na kizunguzungu kila nionapo makalio makubwa yakitingishika.
Leo nimekuja mbele yenu kuwaombea nafuu wale vijana wenye vibamia, Mimi sina kibamia, yangu ni above average size.
Tunaambiwa kwamba kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake, kwa maana hiyo kibamia kitakuwa na uzuri wake pia, Mara nyingi tumeona wenye vibamia wakisemwa vibaya tu. Hivyo hapa naomba wale wenye kujua uzuri/utamu wa kibamia watueleze hapa ili huu Uzi uwe habari Njema kwa wenye kibamia.

Karibuni wote

Nb: Kibamia = uume mdogo

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

Umevurugwa
 
hizo ni kashifa kwan wao wao walipenda wawe na vibamia?achen kuukosoa uumbaji wa Mungu.
je wewe ukizaa mtoto mlemavu utasheerekea?mweshim mwenzio hata MUNGU atakueshim.
 
hizo ni kashifa kwan wao wao walipenda wawe na vibamia?achen kuukosoa uumbaji wa Mungu.
je wewe ukizaa mtoto mlemavu utasheerekea?mweshim mwenzio hata MUNGU atakueshim.

Iko wapi kashfa hapa? Hapa tunataka na wao wajione Kama binadamu wengine, wasione kwamba Mungu amewaonea.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
hizo ni kashifa kwan wao wao walipenda wawe na vibamia?achen kuukosoa uumbaji wa Mungu.
je wewe ukizaa mtoto mlemavu utasheerekea?mweshim mwenzio hata MUNGU atakueshim.

nataka kujua kwnn umesema ni ulemavu .. ?
 
Wakuu,

Karibuni wote

Nb: Kibamia = uume mdogo

bamia3216.jpg
 
Title na habari yenye ni tofauti kabisa!
 
Me nilishatumiaga Pili pili chumvi kuchanganya na limão hivi sasa nashukuru sihaba mzigo nimeubeba.
 
Nimependa hapo ulipoweka picha na like nimekupa,ila una miaka mingapi vile??
 
bora umewaambia kiongozi tupumue mjengoni humu maana wamezidi na mambo yakitoto
maneno yanawatoka utadhani wanafungiwa pampers mdomoni mwao
Hayo matokeo yatoke tu muende shule tupumzike.. dah..!
 
Nimependa hapo ulipoweka picha na like nimekupa,ila una miaka mingapi vile??

25 mkuu, matured enough to talk bout this.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
bora umewaambia kiongozi tupumue mjengoni humu maana wamezidi na mambo yakitoto
maneno yanawatoka utadhani wanafungiwa pampers mdomoni mwao

Mchango wako Mkuu, hii itasaidia wenye vibamia wasijihisi wananyanyapaliwa.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
waridhike jinsi walivyo kwani si ni maumbile yao ambayo Mungu amewaumba kwayo
kwanini wajione wanyonge hivyo

Kwa hiyo unawaambia wasiwe wanyonge, kama mwenyekiti wa chama fulani alivyowaambia wanachama wake?

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Tunaomba wadada musiwanyanyapae wenye vibamia ili na wao wajione ni sehemu katika jamii

ImageUploadedByJamiiForums1392647435.523188.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1392647468.599970.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Ukiona mwanaume anajitapa kwa wenzio eti ana dushelele kubwa ujue ana kibamia
 
Back
Top Bottom