habari njema kwa wana arachuga.....

habari njema kwa wana arachuga.....

Last edited by a moderator:
we Chocs mi nshakwambia bishanga ndo kila kitu hapa mjini we husikii,shauri zako wenzio wananyanyuka na vi IST wewe unamg'ang'ania huyo sakapoko Erickb52 ambaye hata kodi ya chumba sanawari mpaka ampige bomu Arushaone.
Hahahahahah hako kasmall hivyo ndo unakuja kwa gia hiyo, mwenzio mtongozo tu alianzaga kunihonga V X
 

yah!!ganja smoker wangu
hajawah kushindwa kesi,na hii tutashinda tu!!

Nasikia yeye anapiga la uganda,ni baaaarrrraaa maana askari wa idi amini walikuwa wakilivuta bunduki wanajielekezea vichwani mwao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom