habari njema kwa wana arachuga.....

habari njema kwa wana arachuga.....

Poa sana
Shem Bishanga zimo kweli..?!! kila siku kunisarandia mimi na Erickb52 kulikoni?????
Na wewe mbona unatumbua jipu kweupe namna hii, embu tukutane hapo philips tuongee vizuri.
There are currently 3 users browsing this thread. (2 members and 1 guests)



Mambo shem! Eti ni kweli mumeo hununua hayo makitu pale? Kumbe ndio maana siku hizi sipati wateja!!! Nikimuona risasi 42 za SMG zinamhusu. Haiwezekani aondoke na wateja wote wale alokuwa anakuja nao kununua
euJe87d3u6U0v8BC2yvunCdBdsAAAAASUVORK5CYII=
siwaoni tena.
 
Last edited by a moderator:
Poa sana
Shem Bishanga zimo kweli..?!! kila siku kunisarandia mimi na Erickb52 kulikoni?????
Na wewe mbona unatumbua jipu kweupe namna hii, embu tukutane hapo philips tuongee vizuri.

Chocs yaani ujuevtangia ulivyonipa ofa ya dinner mt meru siku ile hujatoka kichwani mwangu,najaribu kukusahau nashindwa.
 
Last edited by a moderator:
Achaneni na cha tarime tumieni cha nading'oro kinauzwa kwa barakaa hapo car wash karibu na mt meru,puff moja unavua serewale mchana kweupe,mtaipendaje?
Cc: Arushaone Erickb52, Nicas Mtei na mahawara zenu
King'asti mambo?
mkuu hahaha..umenifurahisa hadi barakaa unamjua,jaji pia dah kweli we mkali na kudedicatia ngoma.....KITU CHA ARUSHA BY WORRIES
 
hahahahaaa nani amekwambia utaje majina yetu sasa? wauzaji wengine wakijua tumewahama si itakuwa msala sasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom