habari njema kwa kina dada mkoani mwanza.

habari njema kwa kina dada mkoani mwanza.

Kiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
459
Reaction score
62
mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26 elimu kidato cha sita . Kwa heshma kubwa naomba kutangaza rasmi kuwa natafuta mke wa kuoa umri miaka 18 hadi 20 .nipo pasias kwa mawasiliano piga 0683406167 sms zote zitajibibwa sichagui kabila.
 
Unatafuta mke wa kuoa au kununua? Maana hapa ni jukwaa la biashara. Isitoshe humo unamokatiza hujawahi kukutana na mwanamke yeyote?
 
Unatafuta mke wa kuoa au kununua? Maana hapa ni jukwaa la biashara. Isitoshe humo unamokatiza hujawahi kukutana na mwanamke yeyote?

ndio sababu nikaja kwenye hili jukwaa sababu mahari nitalipa.
 
Mkuu unataka kum-wekeza wapi?

mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26 elimu kidato cha sita . Kwa heshma kubwa naomba kutangaza rasmi kuwa natafuta mke wa kuoa umri miaka 18 hadi 20 .nipo pasias kwa mawasiliano piga 0683406167 sms zote zitajibibwa sichagui kabila.
 
weka picha tafadhali, usisahau kusema una mshahara wa sh ngapi kama umeajiriwa, kama ni ni mfanyabiashara sema mtaji wako ni sh ngapi. Alafu usilete mambo yako ya form six hapa, nani ka kwambia hao mademu wanataka elim, au unataka kuoa kwa pesa za mkopo wa chuo kikuu.
NI MTAZAMO TU.
 
weka picha tafadhali, usisahau kusema una mshahara wa sh ngapijiriwa, kama ni ni mabiashara sema mtaji wako ni sh ngapi. Alafu usilete mambo yako ya form six hapa, nani ka kwambia hao mademu wanataka elim, au unataka kuoa kwa pesa za mkopo wa chuo kikuu.
NI MTAZAMO TU.

mtazamo wako una ukweli kwa mbali mkuu.
 
Yan una miaka 26 afu ndo upo form six!!!.....jaman mbona ulichelewa sana kusoma
 
ndio sababu nikaja kwenye hili jukwaa sababu mahari nitalipa.

Naomba usimpate maana utamnyanyasa sana kwa kuwa umemnunua. Yaani hutakuwa na upendo naye akiumwa utaona kama anakutia hasara maana unapoteza hela kumuuguza na pia hakuhudumii kama mume.
 
Kuoa ni biashara? Ushauri wangu tafuta chuo au biashara ufanye kwanza. Ktk kujishughulisha au kusoma utakua kiakili na utapata exposure na kuwafahamu watu na mahusiano. Mke hanunuliwi kama ng'ombe. Ni ushauri tu.
ndio sababu nikaja kwenye hili jukwaa sababu mahari nitalipa.
 
Back
Top Bottom