Habari Njema Kutoka SMG: Iliyofilisika ni SMG, Ambayo ni Baba wa Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, Watoto ni Wakubwa, Wanajitegemea!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,722
Wanabodi,

Jana tulishitushwa na habari ya kufilisika kwa kampuni ya Sahara Media Group, ambayo kampuni wamiliki ni wa kituo cha T cha Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, hivyo na mimi japo sio mfanyakazi wa AMG, lakini kujikuta nimeathirika kwasababu kampuni yangu ya PPR ni mdau mkubwa wa Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM kwa kuwatengenezea contents ambazo ndio survival ya PPR.

Jana kuliibuka taarifa hizi
Hivyo nimefuatilia taarifa hii, na kukutana na habari njema kutoka SMG, Kampuni iliyofilisika ni kampuni mama, yaani Sahara Media Group, ambayo ni kampuni mama wa Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, ambapo hapo mwanzo, zilikuwa ni kampuni Tanzu za SMG, yaani ni kama walivyo watoto wakiwa wachanga wanakuwa fed kwa lactating wakianza kutambaa wanakuwa spoon fed, wakimtegemea mama kwa kila kitu, but as times go by, watoto wanaanza kukua, mara wanasima, wanatembea na mwisho wanakimbia, wakati wote wakiwa minor, wanakuwa ni dependants wa wazazi wao, SMG, hatimaye wamekuwa wakubwa, wanajitegemea wenyewe, hawamtegemei tena mzazi.

Kwa sasa mzazi SMG amezeeka, hawezi tena kufanya chochote, ikiwemo kufanya biashara katika mazingira ya kisasa ya kidigiti, na huyo ndiye aliye filisika!, lakini watoto ni wakubwa wanajitegemea na wamesimama.

Kwa wanaojua the corporate world, kampuni is an entity, ikiwa a LTD, kampuni mama inaweza kufilisika, kufa au kufungwa kwa kufungiwa au kusitisha shughuli zake kwa hiari yake au kwa lazima
1. A voluntary wind off
2. Kwa kufilisika
3. Kwa kufilisiwa.

Na zile kampuni Tanzu, zinaweza kukua na kuwa haziitegemei tena kampuni mama, hivyo hizo kampuni tanzu, zinajitegemea, zinajiondoa kwenye utegemezi wa baba na mama na kujitegemea zenyewe kwa kujisajili as separate entities, zinazojiendesha zenyewe bila kumtegemea baba.

Hivyo kampuni mama SMG inaweza kufilisika na kufilisiwa bila kuzigusa hizi kampuni tanzu kwasababu nazo ni limited!, zinajitegemea na zimesimama zenyewe bila kumtegemea Baba yao SMG!

Hivyo kilichotokea ni SMG yenyewe kutangaza kufilisika huku watoto tayari ni wakubwa wanajitegea, tena hapo unaweza kukuta huyo baba SMG, ameisha wagawia watoto chao, hivyo hapo alipo hata asset yoyote ya maana zaidi ya madeni!, kwa vile it's a limited liability company, baada ya kuwa liquidated kinachopatikana ndio kinalipa madeni, kikiisha bila kumaliza madeni, then madeni yaliyobakia, inakuwa imekula kwao!.

Madeni mengine yote ya kampuni yanaweza kusameheka ila kama kuna madeni ya mishahara ya wafanyakazi, na madeni ya michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, madeni haya hayafi kwa kufilisika kwa kampuni!.

Waliokuwa wafanyakazi wa SMG wanapaswa kuwasilisha madai yao kwa wakili mfilisi, the liquidator, Wakili Alex Mgongolwa, ili assets za SMG, zisipotosha kukidhi madai yao, then Mahakama inatoa amri ya unveiling the corporate veil ya wamiliki wa SMG, kisheria hii inaitwa piercing the corporate veil, kwa kuzifanyia attachment ya their personal assets, ambapo ndio sasa hizi kampuni za watoto wa SMG, zitafikiwa, na kupitia digital footprints, kila senti ya iliyokuwa SMG, inakuwa traced na kama ilitumika to aquire any asset, hiyo asset acquired asset inakuwa captured and attached, kama ni nyumba, mashamba, magari hadi samani za nyumbani zitapigwa mnada kulipa madeni ya wafanyakazi!.

Hivyo tulizeni pressure, Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, zinaendelea kupiga kazi kama kawa.

Paskali
Rejea za mtoa mada kuhusu Star TV
 
Pasco ufafanuzi mzuri.
Naomba nikuulize maswali, japo hupendi maswali. 😊
Zipo mali hasa ambazo hazihamishiki kampuni hizo zinaweza zilikuwa zinashare, mathalani viwanja vya kuweka miundombinu, minara, majengo ambayo wenda kimsingi yapo kwenye kampuni baba, ambayo inafilisiwa kisheria.
Je, kisheria hakutakuwa na athari kwa kampuni watoto kwa muktadha huo?

Hoja ya swali langu ni kwamba, SMG ilirundika brand zake sehemu moja, kutumia majengo ya pamoja, miundombinu ya pamoja. Kama umefika pale Ilemela, utajua ninalozungumzia.
 
Hili swali sio hatopenda kukujibu, Bali hana uwezo wa kulijibu. Maana hoja yake ameiweka kisiasa mno. Ingekuwa tuu baba ndo amechoka na watoto wamekuwa na kujitegemea, why watoto waendelee kumlilia baba Yao hawapi pesa ya kula?
 
Watak
Pasco ufafanuzi mzuri.
Naomba nikuulize maswali, japo hupendi maswali. 😊
Zipo mali hasa ambazo hazihamishiki kampuni hizo zinaweza zilikuwa zinashare, mathalani viwanja vya kuweka miundombinu, minara, majengo ambayo wenda kimsingi yapo kwenye kampuni baba, ambayo inafilisiwa kisheria.
Je, kisheria hakutakuwa na athari kwa kampuni watoto kwa muktadha huo?

Hoja ya swali langu ni kwamba, SMG ilirundika brand zake sehemu moja, kutumia majengo ya pamoja, miundombinu ya pamoja. Kama umefika pale Ilemela, utajua ninalozungumzia.
Watakuwa wame ziprotect kwa namna fulani kwa mfano, wamehamisha mali kwa kampuni zilizobaki kabla ya kufilisika. Hii mambo huwa inafanywa makusudi ili kujifaidisha kwa namna moja au nyingine.
 
Wanabodi,

Jana tulishitushwa na habari ya kufilisika kwa kampuni ya Sahara Media, ambayo ni wamiliki wa Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, hivyo nimefuatilia taarifa hii, ni hii ni habari njema kutoka SMG, Kampuni iliyofilisika ni kampuni mama, yaani Sahara Media Group, ambayo ni kampuni Baba wa Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, ambapo hapo mwanzo, zilikuwa ni kampuni Tanzu za SMG, kama walivyo watoto walikuwa spoon fed wakimtemea baba kwa kila kitu. As times go by, watoto wamekuwa ni wakubwa, wanajitegemea wenyewe, hawamtegemei tena baba yao. Kwa sasa baba yao amezeeka, hawezi kufanya chochote, hivyo hawezi tena kufanya biashara, na huyo ndiye aliye filisika.

Kwa wanajua the corporate world, kampuni is an entity, ikiwa a LTD, kampuni mama inaweza kufa kwa
1. A voluntary wind off
2. Kwa kufilisika
3. Kwa kufilisiwa.

Na zile kampuni Tanzu, zinaweza kukua na kuwa haziitegemei tena kampuni mama, hivyo hizo kampuni tanzu, zinajitegemea, zinajiondoa kwenye utegemezi wa baba na kujitegemea zenyewe kwa kujisajili as separate entities, zinazojiendesha zenyewe bila kumtegemea baba.

Hivyo kampuni mama SMG inaweza kufilisika na kufilisiwa bila kuzigusa hizi kampuni tanzu kwasababu nazo ni limited!, zinajitegemea na zimesimama zenyewe bila kumtegemea Baba yao SMG!.

Hivyo tulizeni pressure, Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, zinaendelea kupiga kazi kama kawa.

Paskali
Kwahiyo anayemdai SMG ndiyo basi tena au kuna kulipwa? Including kodi za TRA!
 
Wanabodi,

Jana tulishitushwa na habari ya kufilisika kwa kampuni ya Sahara Media Group, ambayo kampuni wamiliki ni wa kituo cha T cha Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, hivyo na mimi japo sio mfanyakazi wa AMG, lakini kujikuta nimeathirika kwasababu kampuni yangu ya PPR ni mdau mkubwa wa Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM kwa kuwatengenezea contents ambazo ndio survival ya PPR.

Hivyo nimefuatilia taarifa hii, na kukutana na habari njema kutoka SMG, Kampuni iliyofilisika ni kampuni mama, yaani Sahara Media Group, ambayo ni kampuni mama wa Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, ambapo hapo mwanzo, zilikuwa ni kampuni Tanzu za SMG, yaani ni kama walivyo watoto wakiwa wachanga wanakuwa fed kwa lactating wakianza kutambaa wanakuwa spoon fed, wakimtegemea mama kwa kila kitu, but as times go by, watoto wanaanza kukua, mara wanasima, wanatembea na mwisho wanakimbia, wakati wote wakiwa minor, wanakuwa ni dependants wa wazazi wao, SMG, hatimaye wamekuwa wakubwa, wanajitegemea wenyewe, hawamtegemei tena mzazi.

Kwa sasa mzazi SMG amezeeka, hawezi tena kufanya chochote, ikiwemo kufanya biashara katika mazingira ya kisasa ya kidigiti, na huyo ndiye aliye filisika!, lakini watoto ni wakubwa wanajitegemea na wamesimama.

Kwa wanaojua the corporate world, kampuni is an entity, ikiwa a LTD, kampuni mama inaweza kufilisika, kufa au kufungwa kwa kufungiwa au kusitisha shughuli zake kwa hiari yake au kwa lazima
1. A voluntary wind off
2. Kwa kufilisika
3. Kwa kufilisiwa.

Na zile kampuni Tanzu, zinaweza kukua na kuwa haziitegemei tena kampuni mama, hivyo hizo kampuni tanzu, zinajitegemea, zinajiondoa kwenye utegemezi wa baba na mama na kujitegemea zenyewe kwa kujisajili as separate entities, zinazojiendesha zenyewe bila kumtegemea baba.

Hivyo kampuni mama SMG inaweza kufilisika na kufilisiwa bila kuzigusa hizi kampuni tanzu kwasababu nazo ni limited!, zinajitegemea na zimesimama zenyewe bila kumtegemea Baba yao SMG!

Hivyo kilichotokea ni SMG yenyewe kutangaza kufilisika huku watoto tayari ni wakubwa wanajitegea, tena hapo unaweza kukuta huyo baba SMG, ameisha wagawia watoto chao, hivyo hapo alipo hata asset yoyote ya maana zaidi ya madeni!, kwa vile it's a limited liability company, baada ya kuwa liquidated kinachopatikana ndio kinalipa madeni, kikiisha bila kumaliza madeni, then madeni yaliyobakia, inakuwa imekula kwao!.

Madeni mengine yote ya kampuni yanaweza kusameheka ila kama kuna madeni ya mishahara ya wafanyakazi, na madeni ya michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, madeni haya hayafi kwa kufilisika kwa kampuni!.

Waliokuwa wafanyakazi wa SMG wanapaswa kuwasilisha madai yao kwa wakili mfilisi, the liquidator, Wakili Alex Mgongolwa, ili assets za SMG, zisipotosha kukidhi madai yao, then Mahakama inatoa amri ya unveiling the corporate veil ya wamiliki wa SMG, na attachment ya their personal assets, ambapo ndio sasa hizi kampuni za watoto wa SMG, zitafikiwa, na kupitia digital footprints, kila senti ya iliyokuwa SMG, inakuwa traced na kama ilitumika to aquire any asset, hiyo asset acquired asset inakuwa captured and attached, kama ni nyumba, mashamba, magari hadi samani za nyumbani zitapigwa mnada kulipa madeni ya wafanyakazi!.

Hivyo tulizeni pressure, Star TV, Radio Free Africa na Kiss FM, zinaendelea kupiga kazi kama kawa.

Paskali
Hapa umeeleza vyema Kuna jamaa alitupiga vibaya mno humi
 
Paskali hebu lete reference kwa ulichoandika, amabco naona hakina ukweli sahihi.
Business inapofilisika(Limited Liability Company), personal properties za owners zinalindwa na ndio maana ya Limited Liability.
By definition:
A limited liability company (LLC) is a business structure that protects owners from personal liability for business debts while offering flexible taxation and operational options.

Sasa Pascal Mayalla hebu kama mwanasheria tueleze, sheria ya Tanzania kama iko tofauti kuhusu Limited Liability Company statutes.
 
Siyo kweli. Kuhamishia mali zako kwa kampuni tanzu halafu ukajifanya umefilisika haijawahi kuwa kinga ya madeni kisheria. As long as hizo kampuni watoto bado zilikua zina undugu wa kimapato na matumizi na kampuni baba kipindi kampuni baba inafirisika kampuni watoto lazima ziwatoke fedha pia kwenda kulipa madeni ya kampuni baba. Kama wamekutuma kuwafanyia PR ya kukana uhalisia wakati huu ikiwa kesi bado inaendelea mahakamani basi basi hawana akili. Huu ulikua ni wakati wa hao kampuni watoto kuendeleza operations bila kusema kitu kuhusu kesi inayomkabili baba yao kama kweli bado wana pumzi.
 
Back
Top Bottom