N ngapu Member Joined Nov 18, 2012 Posts 41 Reaction score 1 Dec 5, 2012 #1 Habazi zenu ndugu wa jf mambo vipi mko poa kila la heri
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,027 Reaction score 16,149 Dec 5, 2012 #2 ngapu said: Habazi zenu ndugu wa jf mambo vipi mko poa kila la heri Click to expand... malizia basi kila la heri katika lipi!!kazi,starehe,shida,au katika lipi!!!
ngapu said: Habazi zenu ndugu wa jf mambo vipi mko poa kila la heri Click to expand... malizia basi kila la heri katika lipi!!kazi,starehe,shida,au katika lipi!!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,801 Reaction score 110,014 Dec 5, 2012 #3 Hizi threads nyingine ziwe zinafutwa...
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,000 Dec 5, 2012 #4 watu8 said: Hizi threads nyingine ziwe zinafutwa... Click to expand... Mkuu watu8,bora hii!! Yupo mwingine kaanzisha thread eti,"Natamani sana Kutukana" Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
watu8 said: Hizi threads nyingine ziwe zinafutwa... Click to expand... Mkuu watu8,bora hii!! Yupo mwingine kaanzisha thread eti,"Natamani sana Kutukana"
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,714 Dec 5, 2012 #5 watu8 said: Hizi threads nyingine ziwe zinafutwa... Click to expand... Sema wewe kiazi,nikisema mie muhogo ntaambiwa mzizi...
watu8 said: Hizi threads nyingine ziwe zinafutwa... Click to expand... Sema wewe kiazi,nikisema mie muhogo ntaambiwa mzizi...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,801 Reaction score 110,014 Dec 6, 2012 #6 Eliah G Kamwela said: Mkuu watu8,bora hii!! Yupo mwingine kaanzisha thread eti,"Natamani sana Kutukana" Click to expand... Huyu atakua alibanwa na Ushuzi sasa alikua anatafuta wapi pa kupumulia...
Eliah G Kamwela said: Mkuu watu8,bora hii!! Yupo mwingine kaanzisha thread eti,"Natamani sana Kutukana" Click to expand... Huyu atakua alibanwa na Ushuzi sasa alikua anatafuta wapi pa kupumulia...
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,661 Dec 6, 2012 #7 Kazi ipo!!!hivi kwani lazima kuanzisha uzi?
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,566 Dec 6, 2012 #8 Eliah G Kamwela said: Mkuu watu8,bora hii!! Yupo mwingine kaanzisha thread eti,"Natamani sana Kutukana" Click to expand... Eliah G Kamwela kuna mambo sana humu ila kuna watu wana majambo kudadadake! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Eliah G Kamwela said: Mkuu watu8,bora hii!! Yupo mwingine kaanzisha thread eti,"Natamani sana Kutukana" Click to expand... Eliah G Kamwela kuna mambo sana humu ila kuna watu wana majambo kudadadake!