mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,963
- 2,479
- Thread starter
- #21
Dunia hii wapo watu kazi yao kupotosha Umma uliyeanzisha uzi huu ni miongoni mwao ila wapo watu kazi yao kuelimisha umma katika nyanja zote. Kwa michango yao na comment zao utawafaham tuu
umma hujipotosha wenyewe kwa kufuata na kukubali mawazo potofu ya wapotoshaji, mfano, mi nilisema sikulazimishi kusoma we umesoma..... kama umekubaliana na mimi si utakuwa umejipotosha mwenyewe au?