Habari na Picha: Mwigulu Nchemba afungua kampeni jimbo la Kalenga kwa kishindo.

Baada ya maroli kupigwa stop....wakatumia mabasi sasa

1932458_673146076080800_1084116287_n.jpg


Mkuu kwa mara ya kwanza nampongeza Mwingereza kwa kusomba watu kwa mabasi, japokuwa watu ni wachache magari ni mengi...
 
CCM sasa ni kiama! Kwanini wasiende watu wenye busara kumsaidia huyu kijana? Huyu Nchemba ndo ataharibu kabisa hali ya hewa! Tutasikia oh! kafumaniwa na mke wa mtu!
 
Cdm vurugu mwanzo mwisho hili li-saccos linahangaika sana na tatizo la chadema ni kumiliki wapumbavu wengi kuliko werevu.siasa ni ngumu na haitakiwi kufanywa na wapumbavu kama cdm.viva ccm vivaaaaaaaaaaa

hujitambui mbulura wewe!!! ccm ilishakufa siku nyingi!
 
CCM haijali watu wa kuja kuona chopa inajali watu wenye weledi wa kunyambua mambo na kupiga kura!

CDM hata mahakamani mulikuwa nyomi lakini mkadhani hukumu itatolewa kwa kuangalia wingi wenu mkaangukia puwa, mikutano ya chopa ilikuwa nyomi lakini kura kiduchu!

Mtaona Kalenga kura zitakuwa kiduchu kweli
 
mtoa mada pamoja na kuambatanisha picha
hebu tuambie huu uzinduzi ulifanyika wapi hasa? mwanzo umeandika ulifanyika "viwanja vya chuo ifunda"
mwisho umeandika "viwanja vya stand"
au baada ya kuona tutahoji kuhusu hayo mabus yaliyo jaa hapo kuliko idadi ya watu?
 
mtoa mada pamoja na kuambatanisha picha
hebu tuambie huu uzinduzi ulifanyika wapi hasa? mwanzo umeandika ulifanyika "viwanja vya chuo ifunda"
mwisho umeandika "viwanja vya stand"
au baada ya kuona tutahoji kuhusu hayo mabus yaliyo jaa hapo kuliko idadi ya watu?
Basi ulifanyika Kibororoni pale Moshi umefurahi? Swali lingine?
 
Back
Top Bottom