Habari na Picha: Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania ulivyofana.

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,976
NA KWA KUWA tumeamua kujenga Chama cha siasa chenye lengo la kuchochea ujenzi wa Taifa la Kujitegemea, lisilo na unyonyaji wala ubaguzi.

KWA KUWA tumeamua kuhakikisha kuwa maliasili ya Nchi yetu Tanzania ni mali ya wananchi wote na kwamba lazima itumike kutokomeza umasikini

kwa nia moja tumeamua kujenga Chama chenye kufuata misingi ya Ujamaa wa Kidemokrasia (Democratic Socialism)

======================================================
CBMbvq4WoAAKQr5.jpg

Zitto Kabwe akihutubia na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania.
CBMbkUPXEAA9orr.jpg

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa wa ACT wazalendo wakisikiliza wagombea nafasi mbalimbali
CBLlStvXEAA1qJm.jpg

CBLlNlVWEAAvY3-.jpg

Wajumbe wakishangilia kwa pamoja hotuba ya hotuba ya Prof. Kitila ndani mkutano Mkuu
CBLxBDuVIAAeGZt.jpg

CBLwL0zXIAALMJQ.jpg

Walio makini husikiliza kwa makini ili kufikia maamuzi makini.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Act wakifuatilia taarifa ya Chama Kwa umakini
 
zito alijenga jina kwa nguvu sana...ila alikosea padogo sana...alikosa subira na hela ikamponza

Hivyo ndivyo wasaliti walivyokutana na msaliti MKUU.sasa ataendelea kuwatumia m pesa TIGO pesa? halafu ukiwauliza malengo ya chama ni nini utashangaa.
 
Naona jamaa ndani ya siku saba amefanikiwa kupata cheo cha Ayatollah, supreme leader wa ACT. Uhai wa hiki chama unategemea utashi wa mtu mmoja na bahati mbaya mtu mwenyewe ana historia ya usaliti
 
...eti wafana bhahahhaaaa, siku zote harusi ni chereko lakini ndoa si mteremko, ngoja waanze kazi zao wataalam wa kupiga pesa na usaliti ndo utajua maana ya maamuzi ya cdm...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Act ni zitto kabwe, na zitto kabwe ni act. Kinachonishangaza hao wajumbe walichaguliwa lin? Nadhani wamejichagua wenyewe! Je hiyo ndo demokrasia?
 
Act ni zitto kabwe, na zitto kabwe ni act. Kinachonishangaza hao wajumbe walichaguliwa lin? Nadhani wamejichagua wenyewe! Je hiyo ndo demokrasia?

usitokwe povu mkuu kama hujui kitu uliza utasaidiwa maana kwabsababu hujui maana kwani waliposhinda uenyekiti wa vijiji kigoma haobwanachama waliopiga kura walitoka wapi?
 
NA KWA KUWA tumeamua kujenga Chama cha siasa chenye lengo la kuchochea ujenzi wa Taifa la Kujitegemea, lisilo na unyonyaji wala ubaguzi.

KWA KUWA tumeamua kuhakikisha kuwa maliasili ya Nchi yetu Tanzania ni mali ya wananchi wote na kwamba lazima itumike kutokomeza umasikini

kwa nia moja tumeamua kujenga Chama chenye kufuata misingi ya Ujamaa wa Kidemokrasia (Democratic Socialism)

======================================================
CBMbvq4WoAAKQr5.jpg

Zitto Kabwe akihutubia na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania.
CBMbkUPXEAA9orr.jpg

Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa wa ACT wazalendo wakisikiliza wagombea nafasi mbalimbali
CBLlStvXEAA1qJm.jpg

CBLlNlVWEAAvY3-.jpg

Wajumbe wakishangilia kwa pamoja hotuba ya hotuba ya Prof. Kitila ndani mkutano Mkuu
CBLxBDuVIAAeGZt.jpg

CBLwL0zXIAALMJQ.jpg

Walio makini husikiliza kwa makini ili kufikia maamuzi makini.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Act wakifuatilia taarifa ya Chama Kwa umakini

Njoo na ID yako mwenyewe.Chama chenu mnajiita wapinzani bila aibu kumbe mpaka pango la ofisi mnalipiwa kutoka Lumumba.Hii ni laana kubwa.
 
ACT-Wazalendo. Cdm wazalendo tayari wanauongozi wa kitaifa. Poleni kwa hila zenu zilizogonga mwamba
 
Back
Top Bottom