Habari mpya napata JF

Habari mpya napata JF

Asili100

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
240
Reaction score
181
Good morning ladies and gentle men wa hapa jamii forums.... napenda kuleta shukrani zangu za dhati na naona hii ni nafasi ya pekee kua member wa huu mtandao mkubwa wa jamii... kilichonleta hapa leo hii ni appreciation za wadau kuleta habari na matukio yanayotokea muda huo huo ambao huwez pata kwenye vyombo vyetu vya habari kwa uharaka huo. nitatoa mfano na kilichonifanya niandike hili jambo; juzi jumatano nilisoma habari ya mama mmoja huko Arusha kupigwa risasi ya mkononi kutokana na ubishi wake katika parking, basi hiyo habari nimeskia ikiripotiwa leo ijumaa (two days afta me kuisoma hapa JF) kwenye magazeti ya mjini hapa kitu ambacho kimenifanya nijivunie sana umemba wangu humu ndani na kutokujutia kupoteza muda wangu humu ndani.... NAWASILISHA
 
kila mtanzania ni mwandishi mzuri wa habari
 
Yako ndio yangu na yao ndio yetu/jamii forum ni kiboko na hizi ndo zetu/mambo yako fasta na kwa haraka habari unapata/mistari ni mingi ila siwezi kuendelea/naikubali sana asili100 mia/!
 
Back
Top Bottom