Habari kwa umma taarifa zisizo zaukweli!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
TAARIFA KWA UMMA
Kumekuwa na taarifa ambazo si nzuri juu yangu na zimekuwa zikivuma kwenye mitandao ya kijamii eti mimi situmii pilau, kuku, mbuzi na mambo mengine yanayohusu kula. Nasema mkiiziona hizo taarifa mziipuuze sio taarifa sahihi kwani zina lengo la kuzuia watu wenye nia njema ya kunialika kwenye sikukuu ili tujumuike pamoja. Tafadhali ieleweke sina Alergy na chakula chochote kile.
9394a7cece10ca0935013a22db6ecbfd.jpg
 
Back
Top Bottom