chicharitoson
Member
- Aug 13, 2011
- 6
- 1
kwa wale walioangalia habari kwa kina ya star tv wameona jinsi walivyoipa coverage kubwa habari inayoonesha adha kubwa ya umeme na maji wanayoipata wakazi wa mwanza pamoja na adha ya umeme wanayoipata wakazi wa mbeya kwa kweli hali ni mbaya sana na inatishia uhai na usalama wa maisha ya wananchi. Inasikitisha siwezi kueleza kwa kirefu hali inatisha watu wanakesha kwenye mashine za kusaga na kukoboa wakisubiri umeme bila mafanikio. Wananunua maji kwa bei ya kuruka.