Habari kwa kina star tv- 18/08/2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari kwa kina star tv- 18/08/2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chicharitoson, Aug 18, 2011.

 1. c

  chicharitoson Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa wale walioangalia habari kwa kina ya star tv wameona jinsi walivyoipa coverage kubwa habari inayoonesha adha kubwa ya umeme na maji wanayoipata wakazi wa mwanza pamoja na adha ya umeme wanayoipata wakazi wa mbeya kwa kweli hali ni mbaya sana na inatishia uhai na usalama wa maisha ya wananchi. Inasikitisha siwezi kueleza kwa kirefu hali inatisha watu wanakesha kwenye mashine za kusaga na kukoboa wakisubiri umeme bila mafanikio. Wananunua maji kwa bei ya kuruka.
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Walichagua Chaguo la Mungu na Maisha Bora kwa kila Fisadi. Acha Waipate.
   
Loading...