google tu kaka,utapata majibu. Still ni gsm technology inatumia infrastructure zile zile kutuma data, but ina achieve hiyo speed kwa kutumia fast data coding techniques.kwahiyo uwezo wake ni huo huo .
mkuu experience yangu yote ya edge simu kibao na specification nlizoangalia hamna edge inayozidi 300kbps yani around 35KBps so unaposema ni kama 3g si kweli labda maneno ya kibiashara
3g qualification ni 380kbps kwa simu na 2mbps kwa pc chini ya hapo hio network haina hadhi ya 3g